I support ur answerTatizo lako hapo ni accounting error,huwezi chukua deni ukajumlisha na pesa ya mkononi,maana 100 umebakiwa nayo,9800 ni deni.labda iwe hivi (-9800)+100=(-9700)
Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00, Ukaamua kupunguza deni, ukatoa sh. 100.00 kwa dada na sh. 100.00 kwa kaka. ukabaki na sh. 100.00. Hivyo ukawa na deni la sh. 4,900.00 kwa dada na sh. 4,900.00 kwa kaka, jumla sh 9,800.00, ukiongeza na ile sh. 100.00 yako, inakuwa sh. 9,900.00. Je sh. 100.00 imekwenda wapi?Nawasilisha.
Dreamliner naona umewachanganya wana jamvi wengine wanajibu kwa hasira, ila jibu langu ni hili:
Ulikopa 10,000
matumizi 9,700
Umerudisha deni 200
Umebakiwa na 100
Ili kujua deni lako kamili unapaswa kuangalia thamani uliyonayo jumlisha pesa mkononi halafu
9700 + 100 = 9800 na wala sio 9800 + 100, ili kutumia njia uliyopitia weweyapasa kuwa hivi
9800 + 200 na sio 100
nawasilisha
Ayaaaaaaaa,nimesahau kikokoteo(kalkleta)