Chemistry

Chemistry

Hakuna muda maalumu wa mtu kuamua kuandika hoja zake nimeibuka maana aliyekuwa anamake sense ulireport akawa banned ulimwita mwanamke naye kakutukana

Unadandia train kwa mbele ukiambiwa hujui kitu unawaka huyo mtu hakunitukana mie kwa taarifa yako...
 
Nasoma message humu sihitaji mnijue nyie nani mpaka niwafahamu?

We ndie watufatiliaaa unajifanya kutujuaa kuliko wazazi wetu waliotuzaaa sina muda wa kukujua nna muda wa kuchangia kila thread maana nimeajiriwa humu
 
Unadandia train kwa mbele ukiambiwa hujui kitu unawaka huyo mtu hakunitukana mie kwa taarifa yako...

Atagongwaa mwache adandie tu mi naona kama ananiimbia taarabu ila mwambie ayapange mashairi vizurii maana bado hajawa mzoefuu
 
Hivi kilicho kigumu hapo ni nini? Watu wengine mnasikitisha sana.

Cc: Kiranga

Hahaha comrade naona umeamua kabisa kuiita hiyo English - English Dictionary...... Where the hell is Blueray when I need him the most.
 
Last edited by a moderator:
We ndie watufatiliaaa unajifanya kutujuaa kuliko wazazi wetu waliotuzaaa sina muda wa kukujua nna muda wa kuchangia kila thread maana nimeajiriwa humu

Sihitaji kukufahamu wee na wenzako mnaotundika message kila mara halafu mnaambia wengine kuwa hawana kazi wewe na wenzio nani hana kazi tukiangalia utundikaji si mnashinda humu kama kazi yenu? Sina muda wa kukujua wanaokujua wanakutosha nipo kuendeleza libeneke na mtetea haki
 
Atagongwaa mwache adandie tu mi naona kama ananiimbia taarabu ila mwambie ayapange mashairi vizurii maana bado hajawa mzoefuu

Na nyie mnaondandiana hoja mnadandia nini ndege? au kuku akijisaidia kanya na bata kaharisha? Mbona mnadandiana hoja kusaidiana maswaiba au?
 
sasa hapa kiingereza kigumu kiko wapi?? nadhani mna issue na mleta thread wala sio lugha aliotumia.

Ingependeza kama ungechangia hoja kwa kimombo kirahisi labda wangekuelewa. Au kama vipi ungewatafsiria kwa kiswahili ili wamuelewe mtoa hoja. Kwa wengine wanajua Chemistry ni somo la darasani, sasa wakiona na MMU nako kuna chemistry hawachelewi kuhama jukwaa...
 
Sihitaji kukufahamu wee na wenzako mnaotundika message kila mara halafu mnaambia wengine kuwa hawana kazi wewe na wenzio nani hana kazi tukiangalia utundikaji si mnashinda humu kama kazi yenu? Sina muda wa kukujua wanaokujua wanakutosha nipo kuendeleza libeneke na mtetea haki

Inatosha mkuu, tujadili mada sasa.
 
Sihitaji kukufahamu wee na wenzako mnaotundika message kila mara halafu mnaambia wengine kuwa hawana kazi wewe na wenzio nani hana kazi tukiangalia utundikaji si mnashinda humu kama kazi yenu? Sina muda wa kukujua wanaokujua wanakutosha nipo kuendeleza libeneke na mtetea haki

Yaan unavyoshindana kujibu unanidhihirishia kua huna kazii hahhhahhha nimekuambia mie kazi yangu ni humu kutundika comment humu,ungekua na kazi usingepata muda wa kujibishana na sie humo tchaoo
 
Atagongwaa mwache adandie tu mi naona kama ananiimbia taarabu ila mwambie ayapange mashairi vizurii maana bado hajawa mzoefuu

Nimempotezea yeye kama mwanaume kweli aje kwa id yake halisi ..
Mwanaume gani mwoga?
 
Yaan unavyoshindana kujibu unanidhihirishia kua huna kazii hahhhahhha nimekuambia mie kazi yangu ni humu kutundika comment humu,ungekua na kazi usingepata muda wa kujibishana na sie humo tchaoo

kujibu hoja lazima maa Jamii sio yako wala ukoo wako, wee huna kazi kazi kushinda humu? Eti kushindana kujibishana na sisi mko wangapi? ikiwa mnasema kudandia treni nayi mnadandia nini ndege
 
Mmmhhh usije na fimbo tu plizzzzzz

Mi hata sielewi kujibizana hapa kunatoka wapi.

Kuna uhuru wa mtu ku post kwa lugha anayochagua yeye as long as hatukani mtu.

Sasa nini kinaendelea hapa?
 
Well said, maana ndo ilikuwa ni hoja ya msingi ya awali iwe lugha aliyochagua kutumia jamaa haina shida lakini akapashwa ni mjivuni
 
Back
Top Bottom