Chemistry

They would need Simone's sass and Satchmo's bass brass
To even front they could break the glass to touch Kiranga's class.

Dawg, slow your roll lest you cause mortal agony to some of these mere mortals.

Only an infinitesimal amount of them would be able to grasp the meaning of that jaw-breaking, extraterrestrial vocab.

You don't just do it, you overdo it:tape:.
 
Ni spatakase huyo watu wana Id nyingiii lol

Hivi wengine humu wakitetewa inakuwa ni jamaa huyohuyo, tafadhali sana naona unapenda midomo kwahiyo wewe ni Lusingo, ni Jerrymsigwa au hao wengine ambao hukushabikia? usidhani ni wewe tu unapata watetezi bali na wengine pia unatabia za uswahili mdomo mrefu sasa naona kwanini Spartakas alikutukana unapenda kweli attention ushabikiwe wewe hukupata love ya wazazi utotoni unakuja kutafuta love Jamii Forum? Maana wengine wakipata washabiki inakuwa ni yuleyule kwenye ID nyingine jiheshimu binti
 
Chuki za nini wakati tunakaa pazuri...tunalala pazuri...tunakula vizuri...bima za afya na magari tunazo tumchukie mtu ni breadwinner wetu?

Lakini mlimshambulia Nyaningabi kwasababu tu kaandika thread kwa kiingereza wee na Jerrymsigwa, Spartakas kutetea ikawa kosa mara mseme ndiye Nyaningabi kwasababu tu hamko tayari kuona mwingine akisemewa na sasa huyo binamu yako Dinazarde sijui mpenzi anasema mie Desert Storm ndiye Spartakas rubbish ukosefu wa hoja
 
ndo point yako....!

kweli kubwa jing.a

samahani lakini

Ni mjinga kwelikweli maana hajui maisha ya watu anaojibishana nao mie siwezi muita mtu fukara wakati simjui maana usimtukane usie mjua, huyu anachuki na watu wa nje yawekana walimchukulia demu maana Nyaningabi kuandika Spartakasi kampa vidonge maana alianza tukana watu wa nje ni wajivuni, hata kwenye thread za uraia pacha yeye na Jerrymsigwa ni miongoni wa wapingaji na maelezo yao hayana mantiki hii inaonyesha wana deep rooted hatred against Tanzanians living abroad
 
Kama hunipendi mimi kachukue sumu ya panya unyweee nishajua naona kumbe kuna watu hua hawapumui kila hewa wanayovuta ni Dinazarde Dinazardee polenii
 
Last edited by a moderator:
In the book How to analyze people in sight it is explained that such things happen coz the two dont have personalty compatibilities that form a forever living couple.
 
Lakini mlimshambulia Nyaningabi kwasababu tu kaandika thread kwa kiingereza wee na Jerrymsigwa, Spartakas kutetea ikawa kosa mara mseme ndiye Nyaningabi kwasababu tu hamko tayari kuona mwingine akisemewa na sasa huyo binamu yako Dinazarde sijui mpenzi anasema mie Desert Storm ndiye Spartakas rubbish ukosefu wa hoja

Haya tumekusikia kwahiyo?
 
Kama hunipendi mimi kachukue sumu ya panya unyweee nishajua naona kumbe kuna watu hua hawapumui kila hewa wanayovuta ni Dinazarde Dinazardee polenii

Uki connect dots utagundua huyu mtu ingawa ni Mara ya kwanza kumwona hapa na hatumjui lakini yeye anatujua vyema...

Anajua mpaka mambo ya uraia pacha na thread zote tunazopita hivi binamu hujagundua tuuu?
 
Last edited by a moderator:
Hivi wengine humu wakitetewa inakuwa ni jamaa huyohuyo, tafadhali sana naona unapenda midomo kwahiyo wewe ni Lusingo, ni Jerrymsigwa au hao wengine ambao hukushabikia? usidhani ni wewe tu unapata watetezi bali na wengine pia unatabia za uswahili mdomo mrefu sasa naona kwanini Spartakas alikutukana unapenda kweli attention ushabikiwe wewe hukupata love ya wazazi utotoni unakuja kutafuta love Jamii Forum? Maana wengine wakipata washabiki inakuwa ni yuleyule kwenye ID nyingine jiheshimu binti

Nakuonea huruma kwa muda mchafu ulonao wa kutumia multiple id na kuandika usichokijua....

Wewe ndo mtetezi humu soma posts zangu zote then unambie wapi nimetetea mtu au una maruweruwe? Wengine hatunaga mda huo wewe na id zako lukuki na uliekosa kazi ndo unatetea ujinga
 
Ni mjinga kwelikweli maana hajui maisha ya watu anaojibishana nao mie siwezi muita mtu fukara wakati simjui maana usimtukane usie mjua, huyu anachuki na watu wa nje yawekana walimchukulia demu maana Nyaningabi kuandika Spartakasi kampa vidonge maana alianza tukana watu wa nje ni wajivuni, hata kwenye thread za uraia pacha yeye na Jerrymsigwa ni miongoni wa wapingaji na maelezo yao hayana mantiki hii inaonyesha wana deep rooted hatred against Tanzanians living abroad

Naona unatujua vyema...

Mbona umeibuka ghafla baada ya huyo mwingine kwenda likizo ya bila malipo?

Usitake kuanzisha mnakasha hapa hayo ya uraia pacha ungekua jasiri ungetetea kule kule kwenye thread...

BTW siwezi mchukia mtu kwakuwa sina sababu ya kufanya hivyo...

Hongera kwa mda mchafu ulonao wa kutumia id lukuki...
 
Uki connect dots utagundua huyu mtu ingawa ni Mara ya kwanza kumwona hapa na hatumjui lakini yeye anatujua vyema...

Anajua mpaka mambo ya uraia pacha na thread zote tunazopita hivi binamu hujagundua tuuu?

Achana nao nimebaki mim tu kua na id nyingii siku nikiwa nazo nitakomeka humu nilikuambia mi mchezo wote nishausomaa mkuu
We muangaliee tu hata profile yakee ndio nimeshangaaa
 
Haya tumekusikia kwahiyo?

Hata mi nimemsikia kwa hiyo anatakajee!!!!!!!!!!!tungemshambulia Nyani na alivyo mbishi unadhan pangetosha hapa,huyu jamaa anatujua kuzidi tunavyojijuaa kumbe kina HOD wengi wanaofatiliwaaaa
 
Anawasha moto kuzima hawezi lol lol
 
Naona unatujua vyema...

Mbona umeibuka ghafla baada ya huyo mwingine kwenda likizo ya bila malipo?

Usitake kuanzisha mnakasha hapa hayo ya uraia pacha ungekua jasiri ungetetea kule kule kwenye thread...

BTW siwezi mchukia mtu kwakuwa sina sababu ya kufanya hivyo...

Hongera kwa mda mchafu ulonao wa kutumia id lukuki...

Hakuna muda maalumu wa mtu kuamua kuandika hoja zake nimeibuka maana aliyekuwa anamake sense ulireport akawa banned ulimwita mwanamke naye kakutukana
 
Hata mi nimemsikia kwa hiyo anatakajee!!!!!!!!!!!tungemshambulia Nyani na alivyo mbishi unadhan pangetosha hapa,huyu jamaa anatujua kuzidi tunavyojijuaa kumbe kina HOD wengi wanaofatiliwaaaa

Nasoma message humu sihitaji mnijue nyie nani mpaka niwafahamu?
 
Nakuonea huruma kwa muda mchafu ulonao wa kutumia multiple id na kuandika usichokijua....

Wewe ndo mtetezi humu soma posts zangu zote then unambie wapi nimetetea mtu au una maruweruwe? Wengine hatunaga mda huo wewe na id zako lukuki na uliekosa kazi ndo unatetea ujinga

Weee ndo mwenye muda mchafu angalia nani hutoa comments kila mara? Huna kazi? Pamoja na kujifanya unaishi maisha mazuri unatukana watu wala huwajui wanaishije? Mashauzi yasiyo na mbele wala nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom