Its impossible. Unazungumzia Chemistry na love...? unafeel lust wewe. Labda umesoma Mills and Boon kibao. Wengine wanaweka avatar of their aspiration na ni tofauti kabisa na their appearance. Looks can be deceptive.... Jaribu umuone upclose and candid.
Mh, Mills na Boon ndio nini?
Mh, Mills na Boon ndio nini?
Mie nimesoma uswazi ila darasa la pili nilisoma kwa muda gangilonga tulikua tunakaa kleruu iringa (si unakumbuka enzi zile unaweza kusoma kwa muda??)DN nitafute nitakupa details...
DN Kama unendaga Nai basi waweza vipata Textbook Centre kule Sarit CentreMie nimesoma uswazi ila darasa la pili nilisoma kwa muda gangilonga tulikua tunakaa kleruu iringa (si unakumbuka enzi zile unaweza kusoma kwa muda??)
Kitabu cha kizungu nilikuja kusoma darasa la nne/tano kile cha kalagesye... na vile vya kiada
tambaza na pondi tulikua tunatafuta mihogo ya kuchoma na ya kuchemsha respectively...
enhe... hivyo vitabu ntapata wapi ili wanangu wavisome?
Thanks WOS, lazma nikachukue wiki ijayo... hebu nitajie vichache zaidi ili nikafunge duka kabisaDN Kama unendaga Nai basi waweza vipata Textbook Centre kule Sarit Centre
Thanks WOS, lazma nikachukue wiki ijayo... hebu nitajie vichache zaidi ili nikafunge duka kabisa
I wish tungekua na bookshops kama zile bongo!!!
Onyo: Objects in the mirror are closer than they appear! People in JF sounds very nice and sexy than they actually are! so DO NOT FALL for an avatar!!
....... Luckily, it end up here in most cases... right!?
Wakati mwingine naamini maandishi ya mtu na avatar yake vinamfanana, so inakuwa rahisi kuhisi jambo. Infact ndani ya jukwaa hili nahisi carmel kafanana na avatar yake. Inanisababishia kumfeel
Ahahahahahahahahaaa...ndugu angalia usije ukaingia mkenge. Hapa si mahali pa kutafutia mwenza na huwezi ukamjua mtu au kuhisi mtu huyo yukoje kwa kuangalia avatar na kusoma maandishi yake. Beware.
Ni kweli kabisa MMM, hiyo warning ni super disclaimer!!! Kuna avatar na lugha humu mpaka unachoka na roho.... Luckily, it end up here in most cases... right!?
actually my comment was non exclusive...ili kudemand the best na wewe pia uwe the best..
isije ikawa tunaowaponda na wao wanatuona vituko...
Hahahaaaa sipati picha WOS ndio mrisho mpoto (joke) na binti maringo ndio zitto
hahaaa