chemirism (Twin inside a Twin) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chemirism (Twin inside a Twin)

Discussion in 'JF Doctor' started by njiwa, Apr 22, 2011.

 1. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Today afternoon when i heard of this professor from Human Embryology department will come and give a rare case presentation i couldn't resist my self left my shift na kwenda kumsikiliza ... it was about chemirism.

  What is Chemirism ?

  Simply the fusion of two or more human zygots. It may occur naturally during pregnancy, when two non-identical twins (even of different sexes) combine in the womb at a very early stage of development, such as that of the blastocyst, to form a single organism. Such an organism is called a tetragametic chimera as it is formed from four gametes - two eggs and two sperm.

  What Next?

  As the organism develops, the resulting chimera can come to possess organs that have different sets of chromosomes. For example, the chimera may have a liver composed of cells with one set of chromosomes and have a kidney composed of cells with a second set of chromosomes. This has occurred in humans, though it is considered extremely rare, but since it can only be detected through DNA testing, which itself is currently rare, it may be more common than currently believed. As of 2003, there were about 30 human cases in the literature, according to New Scientist.

  Mtu anaweza akawa bipolar "switch behavior " the way they talk, walk for 5-10min it is like you dont know them (bongo wanaweza wakasema ana pepo kichwani) but it might be ni pacha wake . have you ever heard/ seen this story "Iam my own twin" ? wewe hapo unaweza ukawa chemera but it needs a genitical test on different vital organs in you body. example DNA itakayopatikana katika Ulimi inatakiwa iwe sawa na ile inakayo kuwa tested katika maini. but on a chimera yeye anakuwa na DNA tofauti mfano. heart & liver might have different DNA`s as if they are from two different people.

  Physically unaweza ukajiangalia kwenye kioo mf. mzuri ni macho jicho la kushoto na kulia linaweza likiwa tofauti see this image bellow

  [​IMG]

  NB. kuwa na macho ya rangi tofauti sio confirmation test on chemirism. DNA test should be carried out.


  I am my own twin

  Lydia Fairchild and her children are the subjects of a documentary called The Twin Inside Me (also known as "I Am My Own Twin")

  Lydia Fairchild was pregnant with her third child, when she and the father of her children, Jamie Townsend, separated. When Fairchild applied for welfare support in 2002, she was requested to provide DNA evidence that Townsend was the father of her children. While the results showed Townsend was certainly the father of the children, the DNA tests indicated that she was not their mother.

  This resulted in Fairchild being taken to court for fraud for claiming benefit for other people's children or taking part in a surrogacy scam. Hospital records of her prior births were disregarded. Prosecutors called for her two children to be taken into care. As time came for her to give birth to her third child, the judge ordered a witness be present at the birth

  This witness was to ensure that blood samples were immediately taken from both the child and Fairchild. Two weeks later, DNA tests indicated that she was not the mother of that child either.

  back to our case seems like Lydia even though she was the one caring a fetus in her womb but that fetus was not hers . Walikuwa ni watoto wa twin wake ambaye haonekani but she wass inside her .. Lydia was a chimera.

  i couldnt finish this intersting lecture bcz niliitwa nirudi ward .. but nilikuwa na maswali mengi kichwani how does this happen bcz classically, the idea is that the placenta acts as a barrier between the mother and fetus to prevent mixing of the cells between the mother and fetus and to keep the mother's immune system from attacking the fetal cells. pia it's not quite that simple since the placenta is derived from the fetal cells.

  P.S - Nimeandika hii case bcz it is interesting ... do not take any medical advice inside this thread just keep in mind kwamba hivi vitu vipo even though ni rare 1/10000>>>

  For more info google the word chimera or go to www.nejm.org you will find a dozens of medical publications .
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  nice... kumbe unaweza ukaandika vitu vya maana.. njiwa toka kule jukwaa la dini hakukufai ndugu yangu. ukija kuwa dactari kamili wagonjwa wako watakuwa dini tofauti.

  nimeipenda article yako
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  sikia man viper.. mimi sio mdini.. nina house mate wangu ni jamaa kutoka russia anakula nisichokula, anakunywa nisichokunywa and we have been friends toka siku ya kwanza naanza chuo. kwa watu wenye akili wanajuwa kwamba katika maisha kuna lines .. lines ambazi some one hatakiwi kuzi cross man ili muishi fresh.

  Nilimuomba invisible permission ya kuingia jukwaa la dini kule nikijuwa kuwa nitakutana na mawaidha, kwa waislamu.. na mahubiri kwa wakristu.. lakini sivyo!... nikilog in JF nikienda kwenye sehemu ya newpost zinatokea post za kule.. na mimi kama muislam bana nakuwa sensitive when some one hes writing shit abt my religion..!

  kama una access na lile jukwaa man nenda utakuta thread "waislam wanaruhusiwa kufanya ngono na wanyama" do you except me to eat that kind of shit! ..??! tukija kwenye siasa.. mi sina chama wala sio CCM "ingawa siku zauchaguzi wakawa wananiita njiwa wa makamba " & id ont beliave chadema ni chama cha wakristu .. actually niliwahi kulalamika kuhusu serikali inavyopunja bajeti wizara ya afya na suala zima la mishahara ya madactari.. ulipoanza uchaguzi...! popote kwenye jina la kiislam ndani ya CCM same names same people kutoka lile jukwaa la dini wanaanza kuongea matusi about islam! ili nitetee ndugu zangu bana ilibidi ni switch gear but! mi si chadema wala ccm.. inshort sitokuja ku vote!..

  worry not man! am kida kool! dude..

  peace out!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  abt that barrier placenta ambayo inazuia kumix kwa cells btn mother and foetus,how abt the ovum?why doesnt she produce eggs with her own genes that can show in the foetus?a very interesting lecture that was.huku kwetu tungesema uchawi.nimekuwa nikiangalia medical documentaries,mysteries ambazo hapa kwetu tungesema uchawi wenzetu wana-solve.sisi nadhani ni uvivu wa kufikiria pia,sio kukosa facilities alone.
   
 5. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa king`asti imani za kichawi ndio zinaturudisha nyuma bongo! .. nimepata hii vid. toka youtube inaelezea case ya njiwa hapo juu

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aisee hii article uliyoiweka hapa hakika imenifurahisha.Hapa tunapata somo kuwa kukimbilia kupima DNA ili kuthibitisha kuwa mtoto ni wako au si wako hasa kwa wanaume sio suluhisho pekee.
  Nadhani watu wanatakiwa kulijua hili kwani nimesikia kuwa asilimia kubwa ya walioenda kupima DNA hapa bongo ili kuthibitisha kuwa watoto ni wao walipata majibu ya kukatisha tamaa.Labda habari hii itawapa matumaini kidogo ili waweze kufanya uchunguzi zaidi.
   
 7. Prophet

  Prophet JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  For the love of Science, thank you very much NJIWA
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Shukran Man..
   
 9. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Article imetulia.. thanks Njiwa!
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  shukran mayassa .. hii inaonesha DNA sio 100% right ..
   
 11. L

  Leornado JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mhhh hii kali kuliko zoote. Dove hii kitu inawezekana kivipi au ndo uchawi wa kizungu??

  Mkuu Dove, thanx sana kwa kunifungua macho though hii kitu inatisha sana. Nadhani mnakutana na kesi tata kuliko hizi kwenye kozi za udaktari.
   
 12. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Njiwa nimekukubali hii kitu imetulia
   
Loading...