Mentor hazarda wakawaida sana tu! chelsea mtamaliza nafasi ya tano tena msimu huu mpya! nacheki game ya barca hapa vs dynamo.. wakati nikisubiri mighty goners

That is true...nikaona mkuu akitafakari pale..sema alichelewa kuact...yale mabadiliko angefanya mapema.anyway...ts th comunity shield, we v got beta things to fight for ahead.
Chelsea damuu...