Chelsea imekubaliana na Ajax kumsajili Hakim Ziyech

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,904
Chelsea imekubali kumsajili kiungo mchambuliaji hatari wa Ajax Hakim ziyech kwa Paundi Milioni 40.

Hakim Ziyech amekuwa mchezaji tegemezi aliyebaki kwenye kikosi cha Ajax baada ya kuondoka De Jong na wachezaji wengine wawili kwenye kikosi kilichofika nusu fainali ya UEFA Champions League.

Hakim Ziyech amecheza michezo 78 na amefunga goals 29 na ana assist 45 tangu ajiunge na Ajax

1.jpg

UPDATE: RASMI
1.png
 
ningeliwashangaa sana kama mungeliwapa crystal palace takribani paundi millioni 70 kwa ajili ya zaha wilfred.

mumefanya usajili bora kwa fedha ilio bora zaidi..
 
ningeliwashangaa sana kama mungeliwapa crystal palace takribani paundi millioni 70 kwa ajili ya zaha wilfred.

mumefanya usajili bora kwa fedha ilio bora zaidi..
Asimilia kubwa ya mashabiki tuliomba zaha asije Chelsea tunashukuru maombi yetu yamekubaliwa.Zaha sio mchezaji wa kiwango Cha Chelsea hata kwenye kikosi tulichonacho sasa hivi tu number apati Bora umsajili Harrison wa Yanga kuliko zaha.
 
kumbe odoi na mount wanamzidi wilfred zaha
Naomba twende kwenye jukwaa la Korean drama naomba unisaidie nipate drama ya Demo nataka nidownload nimejaribu kuitafuta kissasian haipo daebak pamoja na dramine kote uko haipo please nisaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom