Success always attracts envy. I am not surprised that Mourinho and Ferguson are most hated people in football. Hivo hivyo inakwenda kwa vilabu, vyenye mafanikio zaidi vinachukiwa zaidi ndio maana uliona kura zilizopigwa hivi karibuni Chelsea iliongoza kwa kuchukiwa ikifuatiwa Man U.
Losers kama Wenger na Arsenal wanapata public sympathy.
Lidaku tumia kauli za kistaarabu, hayo 'matusi' ya nini? Ni aibu mtu kuzungumza 'uchafu' JF, alafu bado unajiita Great Thinker! :disapointed:
Success always attracts envy. I am not surprised that Mourinho and Ferguson are most hated people in football. Hivo hivyo inakwenda kwa vilabu, vyenye mafanikio zaidi vinachukiwa zaidi ndio maana uliona kura zilizopigwa hivi karibuni Chelsea iliongoza kwa kuchukiwa ikifuatiwa Man U.
Losers kama Wenger na Arsenal wanapata public sympathy.
Success always attracts envy. I am not surprised that Mourinho and Ferguson are most hated people in football. Hivo hivyo inakwenda kwa vilabu, vyenye mafanikio zaidi vinachukiwa zaidi ndio maana uliona kura zilizopigwa hivi karibuni Chelsea iliongoza kwa kuchukiwa ikifuatiwa Man U.
Losers kama Wenger na Arsenal wanapata public sympathy.
MSIMU HUU UJAO NNA HAMU NAO BALAA...
Mkimpata na Wayne Rooney, hakika mtakua zaidi ya Poa!
Sidhani! We have enough striking force as of now! Nahisi tunahitaji defender zaidi ya striker kwa sasa...! With the competition for the number 9, I'm sure itamwamsha hadi Torres.
#CFC
Ila..
Kama akinunuliwa akaekwa benchi itakua poa sana...maana hapo Manuseless watakuwa wanawategemea Welbeck Mapanki na RvP pekee nasikia Chicharito anaenda loan Sevilla kama sikosei!!!:smile-big::smile-big:
Na defenders wote wale? Cahill, Terry, Luiz, Ivanovic, Azpilicueta, Cole, Bertrand na Essien. Bado hao makinda, Wallace, Kalas, Chalobal ambao nasikia wanapelekwa kwa mkopo. Wapi pana pengo Mkuu?
Wallace na Chalobal, are very, very good young players, msimu ujao wataomba namba za watu wazima hapo na yule dogo Mbukinabe, Traole, nasikia he's only 17 unfortunately hajapata work permit kwa sababu ya age, akihit 18 cjui kama hata atapelekwa anywhere kwa mkopo, Mou speaks very high of him!
Hivi Essien siku hizi ni defender!??
Anyway, I agree with you kama hao madogo watabaki then we are good tusinunue any player tena...!!!
Najua msimu huu majirani watalia sana aise...
Hapa napata updates za Man Utd huko wamefungwa Japan...ni balaa!!! Arsen8 ya Wacha1 nayo wanang'ang'aniwa na draw!!!
viva #CFC ...forever blue!