Chelsea Player Ratings vs Brentford
Subs
- Edouard Mendy 9/10 - MOTM
- Trevoh Chalobah 8/10
- Andreas Christensen 7/10
- Malang Sarr 8/10
- Cesar Azpilicueta 6/10 uchovu
- N’Golo Kante 7/10 fitness
- Mateo Kovacic 5/10 uchovu
- Ben Chilwell 7/10
- Ruben Loftus-Cheek 6/10
- Romelu Lukaku 5/10 uchovu
- Timo Werner 5/10 uchovu
- Mason Mount (Kovacic, 65’) 5/10 - uchovu
- Kai Havertz (Lukaku, 77’) 4/10 - uchovu
- Reece James N/A
katoka injury game ya mwisho ya ubelgiji akucheza kwasababu ya injuryHuyo Lukaku ana uchovu gani? Pale tumepigwa
Acheni kumtetea, Lukaku tumepgwa mchana kweupe.katoka injury game ya mwisho ya ubelgiji akucheza kwasababu ya injury
Sent using motorola 78
Sisi hatujapigwa, umepigwa weweAcheni kumtetea, Lukaku tumepgwa mchana kweupe.
Nafikiri huyu ndo legend wa manure ambaye anaongeaga ukweli Haijalishi timu yake ipo katika hali gani sio Scholes yeye ni kutusema vibaya tuGarry Nevile
Chelsea wameshacheza na Arsenal, Tottenham, City na Liverpool na wanaongoza ligi. Wameanza na mwanzo mgumu.
Mfungaji wao hafungi magoli na tunajua atafunga tu na timu inaongoza ligi kwa hiyo Chelsea nao wapo kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.
"But I do think Chelsea, they’ve played Arsenal, Tottenham, City and Liverpool already, and they’re top of the league. They’ve had a really tough start.
"For me, I think Chelsea demonstrate at the moment - Romelu Lukaku’s not at his best either, so again that’s another good sign, you’re top of the league and your main striker is not firing and you know he will fire - so I do think Chelsea (are up there).
Ili uwe Bingwa unahitaji kuwa na goalkeeper ambaye atakulindia point tatu katika mechi ngumu kama ambavyo Allison alifanya na Liverpool, Ederson alivyofanya na City, Cech alivyofanya na Chelsea, Van Der Sar alivyofanya na Manure na Mendy anavofanya na Mabingwa wa Ulaya hivyo Crouch hajaongopa 👊Crouch adai Mendy ndio kitu muhimu cha mwisho kilichokuwa kinakosekana ili Chelsea waweze kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu
Crouch said
"Mendy is the final missing piece for Chelsea to win the EPL this season"
Hata Rio FerdinandNafikiri huyu ndo legend wa manure ambaye anaongeaga ukweli Haijalishi timu yake ipo katika hali gani sio Scholes yeye ni kutusema vibaya tu
Acheni kumtetea, Lukaku tumepgwa mchana kweupe.
Nikiona hizi comments namkumbuka Papaa Gx sijui anarudi lini aseeh!!Acheni kumtetea, Lukaku tumepgwa mchana kweupe.
Oya ww si ulikua una mtetea Sana lukaku....Leo kawa diaba tena?Watu wabishi sana, lile diaba tumepigwa
Huko mbeleni kwenye vita vya ubingwa Liverpool na Man city watatushindia hapo kwenye magoliVijana wanatakiwa kukaza sana, pale mbele sijui kitu gani kifanyike ile tuweze kupata magoli.
Hivi kweli viungo kama Ces Fabi wameisha kabisa au maskaout ndo wanazingua.
| Date | Kick-off | Opposition | TV broadcaster |
| Wed 1 Dec | 7.30pm | Watford - away | Amazon |
| Sat 4 Dec | 12.30pm | West Ham - away | BT Sport |
| Wed 8 Dec | 5.45pm | Zenit - away (CL) | BT Sport |
| Sat 11 Dec | 3pm | Leeds - home | N/A |
| Wed 15 Dec | 7.45pm | Everton - home | BT Sport |
| Sat 18 Dec | 3pm | Wolves - away | N/A |
| Sun 26 Dec | 5.30pm | Aston Villa - away | Sky Sports |
| Wed 29 Dec | 7.30pm | Brighton - home | Amazon |
| Sun 2 Jan | 4.30pm | Liverpool - home | Sky Sports |