Namtafuta Peas of ants, he's the only one who can stand the heat, wengine kina Rev na Mungiki brother hawawezi kutokea hapa ngoja arudi ajibu hoja khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee oops Invisible .... .. 's as well
I'll be back khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
.................Nakuachia Ngoswe
Hongera kwa 'ushindi' though.......3-1 si haba....Hongera kwa kumaliza mwaka mkiwa Top Four ....
Losers....
Heri ya mwaka mpya....
Namtafuta Peas of ants, he's the only one who can stand the heat, wengine kina Rev na Mungiki brother hawawezi kutokea hapa ngoja arudi ajibu hoja khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee oops Invisible .... .. 's as well
I'll be back khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wakuu wa humu (beautiful people), hamjamboni jamboni!? namtafua mtu mmoja humu ndani anaitwa Peasant tulikuwa na miadi naye leo lakini sijamsikia maana hata kama ameahirisha miadi yetu basi lazima angenipigia simu lakini naona saa zinayoyoma tu. Mkimuona naomba mmwambie aangalie juu kisha aniambie nani yuko juu yake 🙂🙂🙂 Nawatakia nyote kila la heri katika kuuaga mwaka wa 2011 na kuukaribisha 2012. HAPPY NEW YEAR!!!!
Acha hizo umesahau ninyi mlivyokuwa mki-rejoice naku-celebrate ati kisa gunners tumetoa draw na mbwa mwitu!Hahahaha, kweli Arsenal mmeishiwa kabisa! Yaani mnashangilia kushika nafasi ya nne katikati ya msimu?! Small club, small minds. Poor little feeder club!! hahahahaaaaa!!
Acha hizo umesahau ninyi mlivyokuwa mki-rejoice naku-celebrate ati kisa gunners tumetoa draw na mbwa mwitu!
Hahahaha, kweli Arsenal mmeishiwa kabisa! Yaani mnashangilia kushika nafasi ya nne katikati ya msimu?! Small club, small minds. Poor little feeder club!! hahahahaaaaa!!
Acha hizo umesahau ninyi mlivyokuwa mki-rejoice naku-celebrate ati kisa gunners tumetoa draw na mbwa mwitu!
Just accept it, your small team (Wenger., et al 2011) is not up to the challenge.
Kweli MUNGU mkubwa!Fortunately Chelsea won the match..