Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Hawezi kuanza. Hajashiriki na timu katika mazoezi. Trust meAkiwahi Leo Ijumaa, kesho lazima acheze, take my word, Mzee Sarri ana usong nae, anakumbukia tu magoli 36 katika mechi 35 Higuaín alizotumbukiza nyavu akiwa Napoli
Ukizingatia fab ameshasepa, sijui wanampango gani? Joginho mwenyewe kupga hata pasi za mwisho hawezi.Very clever, we need a midfielder with extra vision apart from our regista jorginho, nadhani macho ya fab yamekosekana pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hapo utashangaa wataenda kumsajili zuzu kama akina Zapacosta au greenSKY ITALIA | PSG have offered Zenit St Petersburg €35M for Leandro Parades. Chelsea have not yet taken any official steps for the midfielder.
-
RMC | PSG have agreed personal terms with Zenit midfielder Leandro Paredes over a 4.5 year contract.
Daaah hii bodi ya chelsea chenga
Sent using Jamii Forums mobile app
ni ujingaSKY ITALIA | PSG have offered Zenit St Petersburg €35M for Leandro Parades. Chelsea have not yet taken any official steps for the midfielder.
-
RMC | PSG have agreed personal terms with Zenit midfielder Leandro Paredes over a 4.5 year contract.
Daaah hii bodi ya chelsea chenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamuona wa maana kama atafunika pengo la Diego Costa vinginevyo itakuwa ni ubatili tu!
Yaani Chelsea badala ya kufight kumpata Piatek wanapewa Higuaín japo simuoni mbaya lakini Piatek angekuwa bora zaidiMilan and Genoa will meet again after the game on Monday for Piatek. Higuain announcement postponed? (Di Marzio)
Marina ataipeleka Chelsea kuwa timu ya kawaida ya nafasi ya 7-10 kwenye ligiSKY ITALIA | PSG have offered Zenit St Petersburg €35M for Leandro Parades. Chelsea have not yet taken any official steps for the midfielder.
-
RMC | PSG have agreed personal terms with Zenit midfielder Leandro Paredes over a 4.5 year contract.
Daaah hii bodi ya chelsea chenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tumsubiri ajeSifa za Higuaín ambazo mashabiki wengi wa Chelsea hawazijui
Faida yake kwa Hazard
- Umbile lake wastani kwa urefu na ni njemba kiasi kama Aguero
- Ana uwezo wa kukaa na mpira tofauti na Morata au Giroud
- Ana mashuti makali na ana uwezo wa kufunga magoli ndani na nje ya 18
- Akipata ushirikiano mzuri ni mshambuliaji mwenye shabaha kiwango cha akina Aguero wa Man City
- Katika nusu ya msimu uliobakia anaweza kufunga Zaidi ya magoli 15 na hivyo kuongeza Akiba ya magoli ya Chelsea na pia kumuongezea ari na fursa Hazard na Willian na Pedro
Uhusiano wake na Sarri
- Kwanza atamrudisha Hazard kwenye nafasi yake ya winga wa kushoto ambayo sio tu anaipenda bali pia anaiwezea
- Kwa sababu ya uwezo wake wa kukaa na mpira na ni tough, atashirikiana vizuri na Hazard na pengine Higuaín anaweza asifunge magoli mengi ila akampa nafasi Hazard ya kufunga magoli mengi Zaidi ya anavyofunga sasa
- Ataleta pia motivation kwa Willian ambaye uchezaji wake umedorora kwa siku za karibuni ambayo mimi nadhani ni kwa sababu Chelsea ina wachezaji wa hovyo kule mbele.
- Pia atatengeneza maelewano mazuri na Luiz kwa zile pressing pass zake na hivyo kuifanya Chelsea iwe hai mbele
Katika Maisha yake ya soka, Higuaín hatamsahau Sari pale Napoli
Higuaín anakiri kuwa Sarri amembadilsiah jinsi anavyocheza na kuwazia soka
Kwa mapenzi haya ya Higuaín na Sari, ni Dhahiri Higuaín ni ngumu kufanya vizuri chini ya kocha mwenye approach tofauti na sarri
Tunategemea ari, kujitoa katika kucheza na kufunga magoli itaongezeka tofauti na alivyokuwa Sansiro au Turin Italy
Unaweza kusoma Zaidi hapa kuhusu Higuaín anavyomuelezea Sarri
Chelsea news: What Gonzalo Higuain has said about Maurizio Sarri ahead of Chelsea transfer | Metro News
Sehemu nyingine wanasema ni Jumanne, hao AC Milan ni wapuuzi kweliMilan and Genoa will meet again after the game on Monday for Piatek. Higuain announcement postponed? (Di Marzio)