Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Very clever, we need a midfielder with extra vision apart from our regista jorginho, nadhani macho ya fab yamekosekana paleBado nae ataonekana kuwa mzigo kama kutakua hakuna mpiga pasi za mwisho.
Kwa nn tusingeswap na costaAlvaro #Morata to Atlético Madrid, confirmed. Last details and the agreement is so close. Here we go! [emoji633][emoji3581] #CFC #Atletico #Chelsea
we ulitaka tulundike mabeki kama man u.nyie mnarundika tu washambuliaji.
Sidhani kama anaweza kuanza 1st eleven.Welcome Gonzalo Higuaín to Stanford Bridge, Welcome to Chelsea
LIne up ya Kesho
View attachment 997787
First eleven itakuwa ile ile yenye false no 9, huyu labda next week ndo tutamuonaSidhani kama anaweza kuanza 1st eleven.
Ngoja tusubiri kama hii itakua bet won or lost. Sina imani naye kabisa, lets give our self a time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ndicho ambacho mimi pia nakiona. Ila kuna haja ya kumrudisha Tammy Abraham kwa ajili ya backup ya Gonzalo na Giroud. Huu ni wakati sahihi kuanza kuwapa nafasi wachezaji kutoka kwenye academy yetu. Ni wakati sahihi kuanza kutengeneza kikosi cha wachezaji wasiozidi miaka 25. Nina imani kwa hili tutatengeneza kikosi chenye ushindani EPL na Europe kwa ujumla. Hapa ndio mwanzo wa kutengeneza malegend wazuri kwenye timu yetu ambao watakua wanaijua vizuri Chelsea.First eleven itakuwa ile ile yenye false no 9, huyu labda next week ndo tutamuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwahi Leo Ijumaa, kesho lazima acheze, take my word, Mzee Sarri ana usong nae, anakumbukia tu magoli 36 katika mechi 35 Higuaín alizotumbukiza nyavu akiwa NapoliKweli kabisa, ndicho ambacho mimi pia nakiona. Ila kuna haja ya kumrudisha Tammy Abraham kwa ajili ya backup ya Gonzalo na Giroud. Huu ni wakati sahihi kuanza kuwapa nafasi wachezaji kutoka kwenye academy yetu. Ni wakati sahihi kuanza kutengeneza kikosi cha wachezaji wasiozidi miaka 25. Nina imani kwa hili tutatengeneza kikosi chenye ushindani EPL na Europe kwa ujumla. Hapa ndio mwanzo wa kutengeneza malegend wazuri kwenye timu yetu ambao watakua wanaijua vizuri Chelsea.
Sent using Jamii Forums mobile app