eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Kumpa ucaptein sio hoja hoja ni kwamba asipofanya vizuri kazi yake awekwe benchi tucahili point of weakness in chelsea defense, hamfikii hata dogo ANDREAS CHRIST achilia mbali rudiger.
sema makocha wa kiitaliano huwa hawana imani na vijana wanapenda kutumia wazee.
sijui alitumia vigezo gani kumpa u captain mtu mzembe kama cahili.
Michi sio mtu wa kumtegemea hata kidogo Nandoleo kuna rumors kuwa tunamtaka belloti na vardy, sasa najiuliza hawa wa nini wakati morata na batman wapo.
wanatakiwa wasajili eneo la kiungo mkabaji kuna defficiency, fabregas kachoka anasubiria tu apige pass za mwisho.
ngolo kante akiumia au apate nyekundu tutakuwa wazi kama upara wa gudiola.
lete mtu kama kovasic, granit xhaka waje wagombaniane namba waongeze competition.
Aisee ni kweli mkuu kuna tetesi zinasambaa kwenye mitandao kufukuzwa kwa Conte itakuwa ni jambo la ajabu kama itatokea kweli.Naona Bodi Ya Chelsea Inafanya Jambo La Ajabu Kama Ni Kweli Kwa Taarifa Zinazosambaa Binafsi Naamini Conte Kocha Bora Zaid Ya Yule Dortmund Diego Costa Anapendwa Na Bodi Inavoonesha Wamuache Kocha Na Maamuz Yake Mana Bado Anafanya Vizur Mbinu Zake Za Ushindi Ni Nzuri.
Mkuu chelsea wamekanusha hiyo taarifa: Chelsea deny SportBild claims that Tuchel is set to replace ConteIkitokea Chelsea wakamfukuza Conte basi itafeli milele
Ikitokea Chelsea wakamfukuza Conte basi itafeli milele
Acheni Stori za kutengenezaChelsea ni zaidi ya Conte. Akiondoka atakuja mzuri zaidi. Kwani yeye si aliikuta Chelsea na vikombe?. In modern football, money matters than anything else.
CARABAO CUP - 2017/18EFL cup kwa msimu huu itajulikana kama Carabao cup baada ya msimu wa 2016/17 kuwa bila sponsor.
Carabao ambao ni kampuni ya kutengeneza vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drink) kutoka Thailand watakuwa sponsor wa EFL kwa kipindi cha miaka 3. Ikimaanisha watakuwa sponsor mpaka mwaka 2020
Kabla ya hapo wengine waliowahi kuwa sponsor wa EFL cup ni pamoja na
1:Capital One ambapo ilijulika kama capita one cup msimu wa 2012-2016
2:Molson Coors hawa wakaipa michuano hii jina Carling cup msimu wa 2003 - 2012
3: Worthington's hapa ilijulikana kama Worthington cup msimu wa 1998 - 2003
4: Coca cola nao walishawahi kuwa sponsor wa EFL na ilijulikana kama coca cola cup mwaka 1992 - 1998
5: Rumbelows ikajulikana kama Rumbelows cup mwaka 1990 - 1992
6: Littlewoods ikijulikana kama Littlewoods challenge cup mwaka 1986 - 1990
7: Milk marketing Board ikijulikana kama Milk cup mwaka 1981 - 1986
NDIO NIZAKWELIKuna tetesi kwamba kocha anatimuliwa ..wakuu hizi habari ni za kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aitake ii takatakaKwa hili la Willian kutakiwa Barca - aisee wakidondosha walau Pound 80m lazima Chelsea wakubali. Ila wakomae komae walau jama wafike 98m hivi. kufa kufaana
Haiwezekani tuuze wachezaji wakati tuna upungufu wa wachezajiKwa hili la Willian kutakiwa Barca - aisee wakidondosha walau Pound 80m lazima Chelsea wakubali. Ila wakomae komae walau jama wafike 98m hivi. kufa kufaana
Fake newsKuna tetesi kwamba kocha anatimuliwa ..wakuu hizi habari ni za kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa.. Noma sana
Wacha kupotosha wewe. Hivi kumbe Conte anawaumiza kichwa.? Zile 4-0 bado zinawauma sana mpaka mnaombe aondoke.? Poleni bhana