chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,495
Duh!! Kumbe sijawapa hongera msije sema Nina kijiba cha roho bure, Hongereni sana wapendwa 2015 ni yenu kila idara... Naombeni mtupie tu ile video aliyotupia Drogba leo insta.....
Ntuzu kunguru mjanja b5-click Viol Manumbu MEANDU kalou na Mentor..ila ww unaniudhi wewe lakini basi tu umefikisha bei gani nikufikirie...lol.
Usiku mwema wote
Niko safarini na hapa nilipo ilinilazimu kuangalia game ya Chelsea, maana nilipoomba game ya Juve nilionekana kama nanena kwa lugha vile
Kwa kweli nimependa mlivyocheza vijana wa blue, I was highly impressed na Hazard, Willian, Cesc na Ramires, mko vizuri vijana na hongereni kwa kuwa mabingwa wa EPL kwa msimu huu, you deserve it
Chelsea don't exist to please everyone but they're definitely pleasing their fans and board right now. What more is needed?
we're really boring