Chelsea Daktari wenu anakamvuto ka ukweli

Chelsea Daktari wenu anakamvuto ka ukweli

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
dada wa chelsea.jpg
 
​Huwa naona kamera zinamlenga yeye kuliko Mourinho.
 
Chama letu watu wana akili sana kumuajiri dokta wa kike tena mrembo anapomhudumia majeruhi akiona sura yake tu ananzaa kupata ahueni
 
huyu mtoto hatari sana aisee... ila angegombea u-miss bongo asingemshinda SITTI.
 
ana miaka 41 Costa ana miaka 25 aibu naona mimi
 
Na Sasa wanataka kumpa mtendaji mkuu mdada pia...
 
Back
Top Bottom