Chelsea Daktari wenu anakamvuto ka ukweli

Chelsea Daktari wenu anakamvuto ka ukweli

huyu mtoto hatari sana aisee... ila angegombea u-miss bongo asingemshinda SITTI.


Angeweza shinda, si mpaka Lundenga akuonje....kwani Sitti ilikuwaje? Kale kajamaa noma, yaani toka aanze kula watoto wa watu miaka ileeee na hatimaye kuja kuoa Miss Tanga mpaka leo bado anahalalisha umalaya wake hadharani.
 
Huyu ndo mtendaji mkuu wa Chelsea Mpya naona chelsea inawaamini wanawake safi sana na wanafanya kweli siku moja nitapenda kumuona miss neddy akiongoza Yanga na miss chagga Simba.
mpya.jpg
 
Ki ukweli hata mimi huwa namuangalia kwa jicho la husuda sana huyu Daktari.
 
acha ujinga; huonei aibu domo lako kwanza?

tumekufunga 2-0 ona aibu kwanza hapo...

Yamekuwa hayo tena turudi kwenye mada husika Mvuto wa Daktari wa Chelsea
 
ana miaka 41 Costa ana miaka 25 aibu naona mimi

Hii suala la umri kuhusu wanasoka linanichanganya sana hasa ninapomuangalia huyu mdada wa miaka 41 na kumlinganisha na Costa, Falcao, Terry na wengineo. Siamini kama ulaya hawachakachui umri.
 
acha ujinga; huonei aibu domo lako kwanza?

tumekufunga 2-0 ona aibu kwanza hapo...

khaaa
kwani ugomvi ?
Domo langu limefanyaje ?
Kama una kisa na mimi niweke kwenye ignore list kuliko kunitukana utanisababishia ban bure jiheshimu

maana ili uwe shabiki wa chelsea either uwe under 18 au umeanza kushabikia mpira baada ya mou kuja chelsea hivyo jichagulie jina kati ya
mrugaruga au mtoto
 
Hii suala la umri kuhusu wanasoka linanichanganya sana hasa ninapomuangalia huyu mdada wa miaka 41 na kumlinganisha na Costa, Falcao, Terry na wengineo. Siamini kama ulaya hawachakachui umri.

ambao hawajachakachua umri wa kwanza kabisa ni jack wilshere kuna picha yake ya utoto amepiga akiwa arsenal ya miaka 8
 
khaaa
kwani ugomvi ?
Domo langu limefanyaje ?
Kama una kisa na mimi niweke kwenye ignore list kuliko kunitukana utanisababishia ban bure jiheshimu

maana ili uwe shabiki wa chelsea either uwe under 18 au umeanza kushabikia mpira baada ya mou kuja chelsea hivyo jichagulie jina kati ya
mrugaruga au mtoto
Ha!ha!ha!ha! ingekuwa live sijui ingekuaje.
 
Ha!ha!ha!ha! ingekuwa live sijui ingekuaje.

mkuu mpaka 2004 chelsea ipo kama everton hata mashabiki ilikuwa haina hapa tz nahisi wewe ni shahidi
sasa huyu kama sio mtoto atakuwa ni mtu aliyeanza kushabikia mpira ukubwani ndio maana anatukana watu
 
attachment.php


John Terry anamjua kweli maana jamaa ni hatari sana hasa kwa mabibi wa watu.
 
mkuu mpaka 2004 chelsea ipo kama everton hata mashabiki ilikuwa haina hapa tz nahisi wewe ni shahidi
sasa huyu kama sio mtoto atakuwa ni mtu aliyeanza kushabikia mpira ukubwani ndio maana anatukana watu

Ila unalosema ni ukweli Chelsea haikuwa na mashabiki kama sa hivi aisee na wengi wao ni baada ya jose kuja
 
Mbona ni "kifupi nyundo" hiki??

Mvuto ziro!!

E bana usitukane mamba tu, kajaribu hao vifupi nyundo uone, nakuahidi utakuja kutuhadithia hapa. Vijeba wana raha yake, tena jitahidi umpate yule midget kabisa, lazima uombe poo.
 
Back
Top Bottom