Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,695
- 1,772
Jamaa wa EWURA hamna kitu. Jasho tu lamtoka na kazi kusema mmmm,eeee,aaaa! Mtu 1 kasema EWURA ina coflict of interest katika kuamua ongezeko au punguzo la bei maana ina affect ile 1% yao wanayocharge kila mwezi!
eehhh. hebu pigeni simu muulize...lakini na yeye si ni TISS?NAONA RENATUS MKINGA KAPOTEZWA GHAFLA TISS IMEMUIBUKIa????????
namuona mchadema itv
Jamaa wa EWURA hamna kitu. Jasho tu lamtoka na kazi kusema mmmm,eeee,aaaa! Mtu 1 kasema EWURA ina coflict of interest katika kuamua ongezeko au punguzo la bei maana ina affect ile 1% yao wanayocharge kila mwezi!
yaani hujui kama huyo ndio msimaji wa chadema?
MS si mtu wa maana.Unategemea kwenda kukariri tu huko.Dk wako hautakuwa na maana.Una hoja za kijinga,lakini hata hivo mtume hakusoma.
Duuh!!Kumbe Ngeleja anapewa unit 1400 za bure kila mwezi!!Kwa kweli Watanzania tunaibiwa huu uchungu wa ongezeko la 18% haujui kabisa unatuhusu tu sisi walala hoi.
Upumbavu kama huu usingekuwepo na idara za serikali zingekuwa zinalipa bili zao tusingekuwa tunahenyeka na hii gharama kubwa ya umeme. Watanue wengine wabebeshwe mzigo wengine. Kweli wajinga ndio waliwao.