cheki wanavyodanganyana!! mmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

cheki wanavyodanganyana!! mmh

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BelindaJacob, Sep 1, 2012.

 1. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mna wakati mgumu wanawake hasa mnapo tusubiri kwa hamuu BJ hatari mwanamke!!!!
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Na kweli huwa wake wanawakumbukaga waume zao visoi! Hivi kweli mke awe na mume kama Malaria Sugu ataacha kumkumbuka kweli kama alikuwa anafuatilia post za udini hapa jf?!

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hii nimeipenda! Imenikumbusha enzi zangu bado nalamba !
   
 5. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hahaaaahaaaa. Kwani asipotafuna bia mkewe hatamkumbuka?
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Akukumbuke ama asihuzunike? Kuna mwanaume anafariki mkewe na wanae wanakuwa relieved!
   
Loading...