Hii hapa tru story..jamaa alipewa lifti na boss wake after party ya kufunga mwaka..alipodondoshwa kwake jamaa kasahau mfuko wake kwa gari ya boss.boss kaamua kumpigia cmu ili ajie mzigo wake..ile noma kumbe cmu ipo kwa huo mzigo.boss kaamua kuitoa na kuangalia..jina aliloseviwa hakuamini.."SHETANII"..nazani mnajua kilichotokea wakuu.