Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Nimeipenda hiyo!Wanatisha ......."Leave me & let me drive my car"
Nimeipenda hiyo!Wanatisha ......."Leave me & let me drive my car"
Unahasira na mmama wa watu tunazungumzia mabango ya nigeria ukitaka anzisha uzi wakumhusu mama huyocc mrs Lwakatare, na wenzie ambao majina nimeshahau ila namfahamu mzee wa upako anayegawa magari kama njugu. Sijapata bado. mama Lwakatare mme wako aliacha ndugu aliokuwa anawahudumia umewatelekeza lakini bado unasema unamtukuza Mungu sijui yupi. Unavaa nguo za millioni kila siku wakati kuna watoto yatima tena ndugu wa mme wako wanakosa ada ya Chuo kikuu wanahangaika????
Dini kuwa biashara ni sawa! Ukijua maana ya nini ndo utajua kuwa inawezekana ikawa biashara. Ila Wokovu / Ukristo hauwezi kuwa biashara hata siku moja. Simama katika ukweli daima.Dini zimekuwa biashara.
samahani naishi kijijini sina tv nilifikiri ya huku kwetuUnahasira na mmama wa watu tunazungumzia mabango ya nigeria ukitaka anzisha uzi wakumhusu mama huyo
Sasa unajuaje hawasoneshisamahani naishi kijijini sina tv nilifikiri ya huku kwetu
ujinga tu kisomo sinaSasa unajuaje hawasoneshi
Wapo kaziniWazee wa kazi