Cheki mabango ya matangazo ya makanisa ya Nigeria.

cc mrs Lwakatare, na wenzie ambao majina nimeshahau ila namfahamu mzee wa upako anayegawa magari kama njugu. Sijapata bado. mama Lwakatare mme wako aliacha ndugu aliokuwa anawahudumia umewatelekeza lakini bado unasema unamtukuza Mungu sijui yupi. Unavaa nguo za millioni kila siku wakati kuna watoto yatima tena ndugu wa mme wako wanakosa ada ya Chuo kikuu wanahangaika????
Unahasira na mmama wa watu tunazungumzia mabango ya nigeria ukitaka anzisha uzi wakumhusu mama huyo
 
Dini zimekuwa biashara.
Dini kuwa biashara ni sawa! Ukijua maana ya nini ndo utajua kuwa inawezekana ikawa biashara. Ila Wokovu / Ukristo hauwezi kuwa biashara hata siku moja. Simama katika ukweli daima.
 
mimi nimempenda yule wa congo anaewapulizia waumini dawa ya mende alafu wanazimia na kufa

hahaha!! tusipotafuta hela tutamsingizia shetani vingi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom