Yanga badala ya kujiimarisha na CUF Champs mnapambana na mabango

OscarkambonaJr

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
1,592
2,567
Yanga mnapaswa kufocus na mashindano yajayo. Kwa hili la kuhangaika na mabango msijetafuta mchawi mkitolewa Makundi.
 
Malengo ilikuwa kufuzu makundi Cafcl na kumfunga 5imba. Sasa nikuulize je hayo malengo yametimia au hayajatimia?
 
Hii kitu imeniuma sana.
Screenshot_20231117-125512.jpg
 
Yanga mnapaswa kufocus na mashindano yajayo. Kwa hili la kuhangaika na mabango msijetafuta mchawi mkitolewa Makundi.
Kumbe bwana Lipumba siku hizi naye ana mashindano! Hakiiiiiiiiiiiiiii sawaaaaaaaaaa,haki Sawa kwa naniiiiiiiiii? Kwa woteeeeeeeeeer
 
Back
Top Bottom