Cheki huyu muislamu alivyo muongo...!

Cheki huyu muislamu alivyo muongo...!

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
Kulikuwa na mwislam mmoja
yeye alikuwa mtoro sana
katika mambo ya ibada yeye
zake ni IDD hadi IDD" sasa
siku moja shekhe
akamuuliza kwanini kwenye
ibada hatukuoni?
Akamwambia mbona na kujaga. Shekhe akaona
isiwe tabu ngoja ni
muulize swali dogo nijue.
Ilikuwa hivi
shekhe:sasa ndugu katika
uislamu kuna NGUZO
ngapi?
Mwislam:akajibu inategemea
na UKUBWA WA MSIKITI
 
Jitahidi kuandika kwa kiswahili ili ueleweke, mara unaweka 2, ndio nini sasa. Si kila mwana jf anaelewa huo uandishi wako.
 
Back
Top Bottom