Cheka upasuke

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,316
7,734
Siku1 Papa Benedict XVI alitaka kufanya shopping,akamwambia dereva wake "niache niendeshe mimi,we kaa pembeni tu hapo". Kufika njiani Traffic akawasimamisha kuangalia vizuri ndani ya gari yule Traffic akakimbia kumwita mkuu wake. Mkuu nae aliangalia ndaniya gari akakimbia,yule traffic ikabidi amuulize mkuu wake mbona anakimbia? Mkuu akajibu kama Papa anamuendesha yule mtu basi yule mtu kama sio Yesu ni Mungu...
:lol:
 
Back
Top Bottom