cheka unenepe

cheka unenepe

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
Alitoa blauzi,na mimi nikatoa shati,
akatoa sindiri,na mimi nikatoa vesti,
akatoa sketi,na mimi nikatoa suruali,
akatoa skintyt,na mimi nikatoa bukta,
akatoa chupi na mimi nitakatoa chupi.
tukabaki tunaangaliam a,ikabidi nitoe pochi nilipie,ndo tukamaliza shopping.

uliwaza nini sasa??
 
Nilifikiri wanataka kufua kumbe ni shopping!
 
Me nildhani wanataka ku-do........................
 
...nilidhani unatoa msaada mahali, hahahaaa..
 
Mbona imefanana copyright na excellent,umekopi humuhumu.tena ya jana!!!
 
Alitoa blauzi,na mimi nikatoa shati,
akatoa sindiri,na mimi nikatoa vesti,
akatoa sketi,na mimi nikatoa suruali,
akatoa skintyt,na mimi nikatoa bukta,
akatoa chupi na mimi nitakatoa chupi.
tukabaki tunaangaliam a,ikabidi nitoe pochi nilipie,ndo tukamaliza shopping.

uliwaza nini sasa??

kaka acha kutuzuga kaka..tunajua kilichofuata
 
Nilidhan mnataka kubadilishana hizo nguo.
 
hahahaaa nilkua nasubiria baada kutoa vyoote nikajua sasa ni kuwekaaaaa hahahaaa lo
thanx
 
Alitoa blauzi,na mimi nikatoa shati, akatoa sindiri,na mimi nikatoa vesti, akatoa sketi,na mimi nikatoa suruali, akatoa skintyt,na mimi nikatoa bukta, akatoa chupi na mimi nitakatoa chupi. tukabaki tunaangaliam a,ikabidi nitoe pochi nilipie,ndo tukamaliza shopping. uliwaza nini sasa??
Ni nini hii?
 
"ikabidi nitoe pochi nilipie,ndo tukamaliza shopping. uliwaza nini sasa??" Mi kwa kweli niliwazia hili duka lipo mtaa gani? dahh... inachekesha......
 
Back
Top Bottom