Cheka Unenepe na Weekend Yako Hapa

Hiyo namba moja,sijui alieyefaidi zaidi ni yupi hapo lol!:flame::flame:
 
Du unatisha sasa AFYA bora hapo ni ipi
0-5 kwa hiyo watoto wetu wanywe Maziwa ya Mama zetu au hizo Lactogen zenye madhara?
kwa hiyo sisi tulio kati ya 15-55 unatushauri TUGIDE sana kabla ya Mapresha ya kutundikia Drip?
au tuache hizo Pepsi zenye Cocaine na vilevi ili tusije lazwa na kutundikiwa Drip
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…