Cheka nao lakini akili kichwani mwako!

Cheka nao lakini akili kichwani mwako!

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari zenu wanajamvi wote

Natumaini mu-wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri katika shughuli, kazi, masomo
na hata mihangaiko ya dunia hii iliyotuzunguka.

Awali ya yote napenda kusema nanyi leo kwa jambo hili ambalo limenigusa na kunitouch
sana moyoni mwangu, Kuna jambo ambalo limenifanya niseme kwa maneno ya msisitizo
juu ya tabia za watu wengine ambao wanakupenda wewe ukiwa na vitu, mali, fedha na
hata maisha yako yakiwa mazuri wataonesha furaha, upendo wa ajabu kwako na hata
ukisema niogesheni watakuogesha kwani hawataki kukuona unakosa raha kwao. Hata
ukisema kuwa nibebeni watakubeba ilimradi tu uwe na amani, upendo kwao. Wataonesha
tabasamu la kibashasha, upendo wa kinafiki, na urafiki usio na kikomo kwako, na kumbe
wanakuchota tu na wala hawana urafiki wa kweli kwako. ila hizo mali ulizonazo ndizo
zinazowafanya uwe rafiki kwao.

Cha ajabu ni kwamba mali, fedha zikipungua kwako basi wale uliokuwa unawaona wakiwa
na furaha , upendo kwako wanakukimbia, na kukuacha ukiwa mpweke usiyekuwa na
upendo wala ukarimu kwao. Hata ukitaka kuwatafuta hao marafiki zako hutawaona, na wengine
ukiwaona watasema kuwa siku hizi wako bize bhana usiwasumbue, kwanini unawafuata fuata
na wakati ulivyokuwa navyo wao walikuwa wanakusumbua na kukuita majina mema mengi
wengine walikuwa wanakuita Pedeshee, Shalobalo milionea, kizito, tajiri, ulivyoyoyoma kimali
huna la maana kwao, wanakuona kuwa si lolote wala chochote kwao. Unakuwa mtu uliyekata
tamaa na kuona kuwa kumbe nililkuwa naliwa pasipo kujijua. Unaumia ndani ya nafsi yako, na
unakuwa na maswali mengi juu yao lakini unshindwa unamwachia Mungu.
Napenda kukutia moyo rafiki yangu kama ndo wewe uliyepitia katika janga hili, kuwa makini
na marafiki wa aina hiyo ikiwezekana wasome tabia zao na ikiwezekana waepuke, ila usiwakimbie
kuwa makini nao na cheka nao ila akili kichwani mwako rafiki. Natumai mpaka hapa utakuwa umenielewa
CHEKA NAO KUWA MAKINI NAO
 
Pole kwa yaliyo kusibu...dahhh!!
 
Kweli kabisa, mijitu inakuwaga na mapenzi ya plastiki
 
Naona ni kipaji cha kufikiri mambo tu rafiki yangu kwani hakuna chochote nyuma ya pazia,naona mwenyezi Mungu amenijalia kuwa hivyo acha nimshukuru ila niombee rafiki nizidi kukua nacho iikiwezekana nitoe nakala muhimu katika maandishi best
ladyfurahia maneno haya ya busara umeyatoa wap?niambie ukweli ni nini kiko nyuma ya hii nasaha?
 
Yaani umeongea mkuu na nimekubali comment yako kwani hawana upendo wa dhati wanacheka nawe ukiwa nazo zikikuushia mfukoni wanasepa kivyao na kukung'ong'a pembeni kuwa tumemmaliza yule
Kweli kabisa, mijitu inakuwaga na mapenzi ya plastiki
 
Watu kama hao ni wa kuwachana live shost ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
tena wengine wako hivi images.jpg mtakuwa marafiki baada ya muda akishapata kutoka kwako atakukimbia cheka nao lakini akili kkichwani mwako uwe mjanja na makini nao
copy: my cousin charminglady and Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
hata ukiwachana live shost Chocs watasikia lakini sababu wana taka kitu toka kwako watakulamba tu mpaka hamu yao iishe ndipo wakukimbie kwani wewe hujawahi kukutana nao watu wa aina hiyo best?
 
Last edited by a moderator:
yani ukiishiwa ndo uwachane live au pale ukiwa navyo uwape ukweli sijakuelewa hapo best
Ukiwa navyo, ukiishiwa afu ukiwachana si watakucheka.....................marafiki si watu wazuri apa town
 
Habari zenu wanajamvi wote

Natumaini mu-wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri katika shughuli, kazi, masomo
na hata mihangaiko ya dunia hii iliyotuzunguka.

Awali ya yote napenda kusema nanyi leo kwa jambo hili ambalo limenigusa na kunitouch
sana moyoni mwangu, Kuna jambo ambalo limenifanya niseme kwa maneno ya msisitizo
juu ya tabia za watu wengine ambao wanakupenda wewe ukiwa na vitu, mali, fedha na
hata maisha yako yakiwa mazuri wataonesha furaha, upendo wa ajabu kwako na hata
ukisema niogesheni watakuogesha kwani hawataki kukuona unakosa raha kwao. Hata
ukisema kuwa nibebeni watakubeba ilimradi tu uwe na amani, upendo kwao. Wataonesha
tabasamu la kibashasha, upendo wa kinafiki, na urafiki usio na kikomo kwako, na kumbe
wanakuchota tu na wala hawana urafiki wa kweli kwako. ila hizo mali ulizonazo ndizo
zinazowafanya uwe rafiki kwao.

Cha ajabu ni kwamba mali, fedha zikipungua kwako basi wale uliokuwa unawaona wakiwa
na furaha , upendo kwako wanakukimbia, na kukuacha ukiwa mpweke usiyekuwa na
upendo wala ukarimu kwao. Hata ukitaka kuwatafuta hao marafiki zako hutawaona, na wengine
ukiwaona watasema kuwa siku hizi wako bize bhana usiwasumbue, kwanini unawafuata fuata
na wakati ulivyokuwa navyo wao walikuwa wanakusumbua na kukuita majina mema mengi
wengine walikuwa wanakuita Pedeshee, Shalobalo milionea, kizito, tajiri, ulivyoyoyoma kimali
huna la maana kwao, wanakuona kuwa si lolote wala chochote kwao. Unakuwa mtu uliyekata
tamaa na kuona kuwa kumbe nililkuwa naliwa pasipo kujijua. Unaumia ndani ya nafsi yako, na
unakuwa na maswali mengi juu yao lakini unshindwa unamwachia Mungu.
Napenda kukutia moyo rafiki yangu kama ndo wewe uliyepitia katika janga hili, kuwa makini
na marafiki wa aina hiyo ikiwezekana wasome tabia zao na ikiwezekana waepuke, ila usiwakimbie
kuwa makini nao na cheka nao ila akili kichwani mwako rafiki. Natumai mpaka hapa utakuwa umenielewa
CHEKA NAO KUWA MAKINI NAO

hehehe,
kuna ka ukweli humu,
ahsante ladyfurahia
 
watakuwa na maneno matamu kama haya love.jpglove 2.jpg hao marafiki bandia au naongopa my husband Mentor si wanakujaga home hawa jamani tena kwa kicheko na kusema twende leo pub best:
 
Last edited by a moderator:
it is human nature to want to associate oneself with successful people.....we are all guilty of that.
 
Aaaaaah nshakutana nao once na nimejifunza, saivi nduki tu mazoea sitaki tena.........................salam inatosha ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom