Huyu jamaa kapotelea wapiHapa nitawawekea Vituko vyote vya member mwenzetu kisandu
hapana mkuuSalute Mkuu wewe ni mod au?
Kumcheka mgonjwa wa akili sio sahihi
ila kuna kitu wagonjwa wengi wa akili wanakiweza kuliko watu timamu
kuwapata wanawake...
amezaa na wanawake sita?
Iyo research yako haina viability umeifanyia wapi,..watu wenye ugonjwa wa akili wanavutiaje wanawake mkuu,
Dah sasa umeniponda na umeniuliza tena maswali nikujibu
Wagonjwa wa akili wengi huwa na wanawake weengi sana
kwa wachache niliowahi kuwa observe.
Ndo nataka nijue umeifanyaj iyo research tujue uhalisia na sio judgement za kihisia,..correlation kati ya vichaa na kupendwa na wanawake ni IPI,..!?
Vichaa huwa na ujasiri wa ajabu
sababu ni vichaa..hawajistukii
hawafikiri mara mbili
wanaweza sema chochote kile
wanawake huwaona 'unique' na mysterious
kumbe sio timamu huja kugundua very late
Aseeh,.. Ntalifanyia utafiti hili,
Hii homa dhahiri.Hapa nitawawekea Vituko vyote vya member mwenzetu kisandu
unipe feedback please