Namkunguta mkono. Nakumpiga jicho kali sana. Hatorudia tena.

Utakuwa MURAA wewe!
Hapana mimi wa kabila lingine kabisa. Ni vile sitaki mchezo. Ale chake kama hajashiba aseme, nitanunua kingine. Ishanitokea, kudokolewa mishkaki yangu kwa kuwa ni mingi na yeye kaagiza miwili tu wakati nilimuambia agizia chochote. Nikaita muhudumu nikamwmbia mpe mishkaki kumi huyu. Ili aache kula ya kwangu.
job is available...............Kazi ipo
Kisha unaulamba kabisa
Hapana mimi wa kabila lingine kabisa. Ni vile sitaki mchezo. Ale chake kama hajashiba aseme, nitanunua kingine. Ishanitokea, kudokolewa mishkaki yangu kwa kuwa ni mingi na yeye kaagiza miwili tu wakati nilimuambia agizia chochote. Nikaita muhudumu nikamwmbia mpe mishkaki kumi huyu. Ili aache kula ya kwangu.
Kulamba mikono noma, wanajishikaga pabaya.
Ndiko ulikopita huko na ukalamba kila kitu!..so mkono is not a big deal!
Ila alilamba ya mama yake sio ya mtu mwingine!