Cheka kidogo

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,544
3,361
Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua marker pen nikajaza = 16W²D²,, sahiii niko kwenye Landrover yao wamenilazimisha kupanda nadhani wananipeleka university of dar es salaam kufundisha hesabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom