Check track yangu kupitia mdundo inayokwenda kwa jina la "Nakumbuka" ft melody, prod jam weezy

Oct 25, 2015
7
45
NAKUMBUKA LYRICS
ARTIST : 12CODE (PUNCH RIDER MC)
Verse one
Nakumbuka
First time nadata na game//.............
As a rapper,mc/negro ma nick name//..............
Enzi ya SHAGGY na MR. BOMBASTIC, fantastic, classic nah nah nah in rap shit//............
Nakumbuka
Ilikuwa kitambo toka underground//..................
Mpaka sasa underpound//.....................
Nasikika kwa speaker like a MCHINGA SOUND//.............
BUFFALO SOLDIER, rap negro bila crown//...........
Nakumbuka
First time nazama kwa studio//...........
Nilikuwa mdogo mithili ya mgonjwa wa polio//...........
But I got IQ superior over inferior//.........
Nah nah nah just like a SUPER MARIO//.............
Nakumbuka
Nishalala kwa kwa studio//..........
Natafuta chance nahitaji flow material//.........
Hau niache ngumu CHUNDABAD STERIO//...........
Nishushe pitch niwe JUX niheat kwa video//...........
Nakumbuka
First time EBISE DAY WALKER//............
Ananiambia mwanangu kiukweli unajuwa kufoka//.............
Lakini watakushusha mithili ya JOHN WALKER//...............
FAST AND FURIOUS like a PAUL WALKER//.............
Nakumbuka
Mamy alisema you are so special//............
Lakini kwa RAP hutoki leo wala kesho//.............
Labda upunguze TRAP kidogo fanya COMERCIAL//........ utavuma toka TZ mpaka VANCOUVER//............ *Verse two*
Nakumbuka
First time in a game got inspired//...........
Now full shame, full blame feel fired//..........
Then full mare, full scare,feel died//........
Take storry then preserve into yo DIARIES//........
Nakumbuka
Last moment kwa stage//.............
Spitiful mistari kwa kichwa full GAGE//........
But got crashes, smashes middle man burnt my ASS//.........
Then left into ASHES//.........
Nakumbuka
First time enzi unaniita black boy, nice boy,wise boy,ice-core//............
Dada ako kadata na game ananiita hardcore//.......
Hard flow aka ananiita 12code//..........
Eminem toy soldier got rap flows....
Nakumbuka
Mwanzo wa picha//.........
RAMECK ananibatiza kisha akaniita RAPPER//........
Then BRAX BEATS rise me as a TRAP MAKER//.........
Leo JAM WEEZY ananiita MR TROUBLE MAKER//...........
PREPARED BY 12CODE A.K.A PUNCH RIDER MC A.K.A DR. THERAPIST
Kwa link 12CODE - 12CODE FT MELODY NAKUMBUKA PROD JAM WEEZY free MP3 download | Mdundo.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom