anonymousafrica
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 611
- 639
- Thread starter
- #21
ahsante kwa kunisahihisha, si unajua wengine mda wote tupo jamaica
ahsante kwa kunisahihisha, si unajua wengine mda wote tupo jamaica
Freddie Mercury mwenyewe alizaliwa Zanzibar.Jina lake la Kuzaliwa ni Farrokh Bulsara, tamka Faruk. Wazazi wake walikuwa na asili ya Kihindi kutokea Bombay (sasa Mumbai) nchini India ambao walikuwa na uraia wa Uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaahsante kwa kunisahihisha, si unajua wengine mda wote tupo jamaica
MJUE SASASimjui
SERIOUS?Freddie Mercury mwenyewe alizaliwa Zanzibar.
Sijashangaa kwanini alikuwa shoga.