Kuna baadhi ya wasanii vichwa vyao wanafuguia nywele tu kwa hili nawashukuru weusi kimpindi cha kampeini awakujiushisha na chama chochote Pamoja na Jux heshima kwenu
Hao wasanii walivyopewa mic walijitambulisha kuwa ni wanachama wa CCM ndiyo maana chama hikiwalipi kimeona ni majukumu ya wanachama kukipigania chama bure kabisa kwa kujitolea
Hao wasanii walivyopewa mic walijitambulisha kuwa ni wanachama wa CCM ndiyo maana chama hikiwalipi kimeona ni majukumj ya wanachama kukipigania chama bure kabisa kwa kujitolea.