Alistides Katunzi
Senior Member
- Oct 30, 2016
- 142
- 84
Ngoja wakomeeee
Wasilipwe kabsaaaaImesemwa hawatalipwa bila kuwa na ushahidi, sasa mlitakaje wakuu?
Walipwe tu bila vielelezo?
Kumbe walikopwa maskini
Ha ha ha....watu walidhani ndo wakati wa mavuno...Tetetetetete kumbe wanalipwa nilidhani ni mapenzi ya chama kumbe wanakusanywa kutoa povu kisha kulipwa mpyuu.
swissme
Wasilipwe kabsaaaa
Siwalipend wenyewe ndiindindi chaguo lao wenyew ndindindi....wanaisoma namb sasa..walidhan sisi tu ndo tutaisoma nambaAcheni hizo jamani, waoneeni huruma muwalipe cha kwao.