Chebukati adakwa kwenye fumanizi!

huyu Chibukati agongwe tu. tabia tabia zake za kupenda skati zilimfanya Roselyn Akombe akaingia mitini. mimi personally nilikuwa na crush na one Consolata Nkatha.... yaani nilikuwa napenda anavyotembea na kila anapoongea. i hope hakupita naye
 

Hehehe!! Nilidhani mimi tu, kumbe tupo wengi mafisi, huyo mdada alikua anasababisha nadata.
Halafu haya mapicha ya jinsi walivyokua wanamchangamkia Chebukati yalikua yananipa kauwivu fulani

 
Simjui chebukati ila hiyo picha ukitazama kitaalamu utagundua kitu cha uongo
 
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC. Yeye ndo alikuwa Presiding officer kwenye uchaguzi wa urais 2017. Anaitwa Mr. Wafula Chebukati MBA, LLB, BMX, CNN, AI.
Jamaa boss mkubwa hvyo ndio anaenda kugongea demu kwenye viguest vya 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…