Chebukati adakwa kwenye fumanizi!

1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,913
2,000
Aisee, imetokea wikendi hii ndani ya hoteli moja hapa jijini..wazee wa kuchepuka bora tubaki kwenye njia kuu mazee
FB_IMG_1512926708881.jpg
 

Lewis254

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
5,579
2,000
huyu Chibukati agongwe tu. tabia tabia zake za kupenda skati zilimfanya Roselyn Akombe akaingia mitini. mimi personally nilikuwa na crush na one Consolata Nkatha.... yaani nilikuwa napenda anavyotembea na kila anapoongea. i hope hakupita naye
images-2.jpeg
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,298
2,000
huyu Chibukati agongwe tu. tabia tabia zake za kupenda skati zilimfanya Roselyn Akombe akaingia mitini. mimi personally nilikuwa na crush na one Consolata Nkatha.... yaani nilikuwa napenda anavyotembea na kila anapoongea. i hope hakupita naye View attachment 648546

Hehehe!! Nilidhani mimi tu, kumbe tupo wengi mafisi, huyo mdada alikua anasababisha nadata.
Halafu haya mapicha ya jinsi walivyokua wanamchangamkia Chebukati yalikua yananipa kauwivu fulani

 

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,818
2,000
Simjui chebukati ila hiyo picha ukitazama kitaalamu utagundua kitu cha uongo
 

mshipa

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
11,603
2,000
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC. Yeye ndo alikuwa Presiding officer kwenye uchaguzi wa urais 2017. Anaitwa Mr. Wafula Chebukati MBA, LLB, BMX, CNN, AI.
Jamaa boss mkubwa hvyo ndio anaenda kugongea demu kwenye viguest vya 500
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom