Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,823
- 59,436
Salam wanaMMU!
Naomba niwaulize kitu..
Wote tunajua kila mahusiano hua yanakua na kiasi chake cha ugomvi!Kuna ule ugomvi ambao unamwacha mtu akifikiria kwamba mwisho wetu umefika...unakuta mtu ana hasira kiasi kwamba hawezi kufikiria kwamba bado ataendelea kua na mwenzake!!Katika hali ya kawaida watu kama hao wanaweza kumaliza hata zaidi ya wiki wakiwa na hasira na hata kama wanaongea haitakua katika hali ya maelewano!Sasa kwa kipindi kama hicho mmoja akihusiana sijui niseme kimwili, na mtu mwingine kama wewe ndo patna wake utapenda kujua pindi mambo yakiwa sawa kati yenu???Je nayo itahesabika kama kucheat???
Na je kama utakasirikia...kisingizio cha ''sikujua tutarudiana'' kitasaidia kupunguza hasira yako??