Cheaters, plz be smart


Labda huyo mke kaishia lasaba mimi lazima nimtafute tigo pesa au mpesa nihakikishe kama kweli si yake.
 
hapa ndio mimi huwa sionagi umuhimu wa kuswali yaani tunazin alafu bado tunaenda kuswali tunamcheza mungu shere,alafu wewe ndio umevuka mipaka unazini ndani ya ndoa???,ulimuoa wa kazi gani sasa.
 
Labda huyo mke kaishia lasaba mimi lazima nimtafute tigo pesa au mpesa nihakikishe kama kweli si yake.


Mkuu, labda nikukumbushe kidogo, hawa cheaters kwa m pesa huwezi kumpata, line ni ya mwanaume lakini imesajiliwa kwa jina la kike tena la ajabu ajabu hata huwezi kufanya guessing.
 
Any way kwa updates nilizopata ni kuwa ile simu jamaa aliiacha kwenye chaji, so mwanaume aliporudi ile kuingia tuu ndani aliwahi room fasta kama vile anaharisha, akakuta simu iko kwenye chaj na kuna message kama nne hivi hazijafunguliwa. Inaonekana wife hajaona
 
Hii thread naamini inasomwa na member na wasio members, kama kuna wanawake mnasoma hapa jifunzeni kitu msitoke bure!
 
Yeah, ni rahisi kushauri....lakini Thubutu kukutwa.....
Kikubwa unachotakiwa kufanya KWANZA usitetemeke halafu simamia pointi yako

unakomaa na mfumo ''DUME'' tuu....then unamchangia kimtindo....
 
we unajijua ni cheater afu huweki pasword kwenye simu yko unakua na mana gani!!!! huo ni uzembe
 

hii ni taarifa au kitendawili?
 
Huyo nae hayuko smart kabisa, cheaters huwa hawapeleki hiyo simu nyumbani na wala hupaswi kuiacha mahali unattended coz anything might happen, Pia huwa message zote na call records zinakuwa deleted ili kulinda siri. Ukiwa unataka kucheat unatakiwa ujifunze kuishi kama jamaa wa usalama wa taifa, always smart coz one mistake umekamatwa na mbaya zaidi kwenye ndoa poteza vyote hata huyo mke mwenyewe lakini usipoteze trust kwa mkeo maisha yatakuwa magumu sana.



 
ukiona mkeo kaka kimya ujue naye ni msaliti kwahiyo anasawazisha mambo
 
watu hadi leo mnacheat kwa kutumia simu za kiganjani?
kama una mpango kando simu ya ofisi ndio anayopewa
la sivo tumia simu yenye password kuanzia simcard na simu yenyewe
mjini shule lol.....
shetani alivo mwema anakuumbua pale unapotaka kumuumbua yeye kama huyo alipoenda church kumwaibisha shetani
shetani akaona isiwe tabu akuabishe kwanza wewe kwa kile ukipendacho zaidi
 
najua utanipiga, ila kipigo kile kinachoendana na maneno soft.. ''yaani wewe lione kwanza.. ulinichanganya''. utaniua kwa pressure

Hahhaaha Lol nitakucharaza bakoraa..nakufungia room nakuchapa kama uko high school
 
Ebo mi nilidhani unatupa yaliyojiri baada ya kurudi nyumbani kumbe ni mambo ya kitendawili tega nikutege
 
Hahhaaha Lol nitakucharaza bakoraa..nakufungia room nakuchapa kama uko high school

haha haaaaa, umeona eeh, mwisho wa siku ni ''kuchapana'' na ndio ugomvi unapo ishia.... mkiamka unaombwa hela ya shopping
 
Well said mkuu :a s 41: :a s 41: :a s 41: :a s 41: :a s 41:

umenikumbusha my best friend (Rest in peace A) jamaa alikua anampenda sana mke wake na familia yake. I can say alikua kama kioo kwa sisi wengine maana ilikua kila kitu wife ananinanga kwa nini usiwe kama mwenzako? ilikua kero......sasa babahati mbaya alipata ajali mbaya na alifariki hapohapo........baada ya mazishi mkewe aliitwa ofisini kwa jamaa kwa ajili ya kuchukua vitendea kazi vyake........walimvunjia droo ya mshikaji na akachumbua vitu binafsi na vya ofisini vilibaki.....katika vitu binafsi na simu ilikuwepo pia.......kwa kweli hamna mtu aliye amini ......jamaa alikua na demu mwingine tena amezaa naye watoto wawili....kwenye droo kulikua pia na picture ya hao watoto na huyo demu.....simu ilikua ina mawasiliano ya wanawake wengine zaidi na kulikua na msg nyingi za mapenzi...........kilio kilianza upya....yule mke wa jamaa hajawai kuniamini kuwa hata mimi nilikua sijui kitu.......hata mke wangu pia hajawai kuamini.......wife alinipigia mpaka magoti akilia akitaka nisimfiche kitu kama mimi nina watoto au mke wannje maana ataumia sana akijua baada ya kifo changu..........its better mke akujue tabia yako kuliko kuficha alafu siku haupo ndio dhambi zako zinajulikana......usimwachie mke wako machungu.....maana tayari atakua ana kazi kubwa ya kuwalea watoto wako ukiwa uko kaburini.
 

Duuuh, hiyo kali zaidi..... jamaa alikosea huwa hatuachi uzi nyuma au nyayo maana zitakuumbua siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…