Loh nikipata mume ka wewe ngumi zinakutosha na mwiko wa kichwa
wanidanganya siku takatifu??
Experience comes with age.
Shikamoo babu
Mkuu Elia hapa ni pagumu sana kushauri na sio rahisi kama wanavyofikiri
Ukiwa mle ndani wameandika kabisa Elia asante kwa kazi yako ya jana au Elia safari yetu ya bagamyo niliipenda sana na kazi uliyofanya ni nzuri wakati umeaga kwa mkeo unaenda bagamoyo kweli na au Elia kitenge kizuri kimepita nichukue au Elia kodi ya nyumba imeisha utakkwepea wapi mkuu
hvi ni kwa nin uwe cheater!!??
those are stupid staffs!!
Kila shetani na mbuyu wake, ila usije Rogwa ukakiri udhaifu hapo utakuwa unawakaribisha ustawi wa jamii...
Jigeuze mganga wa kienyeji... anaye jitangaza anatibu magonjwa yooote wakati anajua sio kweli.. danganya hata uongo obvious maana hawa ndugu zetu wataamini tu. Tumia maneno laini laini tu.

Yote hayo mkuu yanategemea kama bwana pepsi hajakukuta na kama mkeo hajashika hiyo simu na kusoma kilichomo au kupokea simu ya kimeo kimoojawapo
Mzee huwezi kusema hivyo wakati humo ndani kuna msg kibao zimekutaja kwa jina kabisa! Mara 'Elia jamani jana ile mechi sitaisahau'.........au 'Yaani mpenzi Elia yaani limke lako linavyo niudhi'? ............, Unasemaje ya rafiki yako hapo sasa mkuu?
Kukiri ni kosa kubwa. hata akikufumania gesti unamkamua mrembo, mwambie "mke wangu naona Mungu kakuleta kwakuwa usingekuja leo ningeisaliti ndoa yetu takatifu" Afu unamshika mkono unamwambia twenzetu nyumbani mama, achana na huyu ibilisi.
With time atakusamehe na kusahau. We unaendelea kudumisha mila na maibilisi feki mengine mengi tu.
Marahaba kijana.
Chondechonde usiwe mzembe. Utavunja ndoa yako takatifu
Nashukuru kwa ushauri,nahisi unahitajika sana hasa kwa wanaume hawa ambao wana simu ya ofisi,family and friends na 'KIUNGANISHI'.
Ukicheat usigundulike ukigundulika ni tatizo, hapo ndio kusafisha kunapo hitajika, Sisi tunakumbushana kuokoa ndoa pindi inapopigwa na mawimbi sio kwamba tunafagilia cheating... lakini ukweli lazima usemwe... na dnoa lazima zidumuInaonekana cheating ishakuwa fashion na issue ni jinsi yakucheat smartly na siyo kutokucheat eeh! Sasa kwanini wanaume mkisikia mwanamke amecheat mnakuwa wakali ilihali nyie mpo busy hapa kufundishana jinsi yakucheat bila kugundulika? Au ndyo mkuki mtamu kwa nguruwe? Hivi nini maanda ya ndoa? I'm getting confused :A S confused:!
Simple sana hiyo; Pointi ni kwamba hiyosimu wala namba hazifahamu...
Mwambie simu uliiacha makusudi pale ndani, na siyo yako ni ya jamaa(rafiki yako) jana alilewa akaisahau hivyo ukamtunzia asije poteza, Baada ya intro hiyo namuomba anipe hiyo simu ili nimpelekee jamaa jioni
Ukicheat usigundulike ukigundulika ni tatizo, hapo ndio kusafisha kunapo hitajika, Sisi tunakumbushana kuokoa ndoa pindi inapopigwa na mawimbi sio kwamba tunafagilia cheating... lakini ukweli lazima usemwe... na dnoa lazima zidumu
Ni mizembe tu ndo haiweki password kwe simu ya kutendea kazi. Afu ni mzembe tu atakayekumbuka kuchukua simu takatifu akasahau simu sheitwain. Na ni mzembe tu anayerudi nyumbani na simu kiunganishi. Ofisini hana droo?
Mijitu kama hiyo iache itiwe bakora na wake zao.