Cheaters, plz be smart

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
776
Naandika hii post nikiwa nacheka mbavu sina mwenzenu. Jana kuna mshikaji wangu alinisimulia yaliyomsibu siku nzima kiasi cha kukosa amani ya moyo siku nzima kiasi cha kuja kuniomba ushauri. Ilikuwa hivi, jamaa ni cheater sana lakini mkewe bado hajagundua. Ana simu tatu. Moja bei mbaya (simu kali). zingine mbili za kawaida na kati ya hizi, simu ya bei ya chini kabisa (mkweche) ndo ina line za cheating na hiyo simu haachii popote aendapo. Hata namba zake mkewe hajui.

Sasa jana jumapili akiwa katika harakati za kwenda church, akawa anachelewa so akarush kwa haraka, akawa kabeba simu mbili za kawaida na kusahau ile ya cheating kitandani. Akawa amekumbuka kuwa kasahau simu akiwa kanisani. Pressure ikampanda akawa hasikilizi tena ibada, alafu mkewe huwa ana tabia ya kuchelewa kwenda kanisani. Mbaya zaidi mkewe anasali kanisa lingine, kwa hiyo kuonana ni mpaka mchana sana. Aliporudi home akawa mwoga kwani alikuwa na maswali mengi yasiyo na majibu, 1) Itakuwaje kama wife ameshika hiyo simu na kusoma msg au kupokea simu ikipigwa? 2) Akifika ataanzaje kumsemesha mkewe ili hali hajajua kama mrs alishika hiyo simu au la? 3) Kama mkewe atakuwa kafuma madudu yaliyomo mle kwenye simu nini kitafuata?

Kama ni wewe hebu tueleze unaporudi home ungeingia kwa gia gani hapo?
 
Ajiandae kwa yote maana maji yashamwagika na kama mkewe kashika simu ina maana anayajua yote hayo ni yeye kuangalia mkewe atakaporudi atakuwa na hali gani hasira (hapa ujue kashasoma na anajua siri zake) au ana furaha sana (hapa kuna mawili huenda amesoma yote na anajua A, B C za mumewe na anamlaghai kwa tabasamu la kuchora au hajui lolote)
Hivi ya nini kujipa presha hivi kama ni kimeo kuwa makini na ukimeo wako jipange masuala ya kuwa na simu ambayo mkeo haruhusiwi hata kuishika na hapo aukiishika pressure na sukari zinapanda ni ya nini
Kama umeyakubali maisha ya kucheat kuwa makini na usilazimishe kujifichaficha wakati wote
 

Narudi nimenuna balaa, Wife akiniuliza kulikoni? Ntamweleza ktk siku ambazo sijafurahia ibada ni leo kwa mtolea lawama kibao mtumishi wa Mungu aliyetulisha neno church kuhubiri robo tatu ya mahubiri habari za matoleo ilhali watu tuna haja na kuijua kweli ya kutupeleka mbinguni.
 

Mkuu kandukamo1 hata kama mhubiri wa siku hiyo alikulisha madesa feki haiondoi kosa kuwa simu yako huku ni majanga mengine
Utamwelezaje wife kuwa mhubiri alihubiri desa tofauti wakati humu una sms kibao zinakuita darling leo mtoko wapi au kuku wapi au tukutane wapi kwa leo au kodi ya nyumba imeisha au sijui lile gauni nadaiwa au kile kitenge au ile perfume uninunulie
 
Last edited by a moderator:
Simple sana hiyo; Pointi ni kwamba hiyosimu wala namba hazifahamu...

Mwambie simu uliiacha makusudi pale ndani, na siyo yako ni ya jamaa(rafiki yako) jana alilewa akaisahau hivyo ukamtunzia asije poteza, Baada ya intro hiyo namuomba anipe hiyo simu ili nimpelekee jamaa jioni
 

Kununa ni kinga ya kwanza nikiwa ktk utafiti wa kujua endapo nimethubutu kukutwa na bwana pepsi au la. By the way labda church liwe linafungwa milango na hakkuna kutoka,kama sivyo naahirisha na ibada na nikimkuta Wife still hajasepa namwambia nimebanwa na tumbo la kuha.ra.
 
Mzee huwezi kusema hivyo wakati humo ndani kuna msg kibao zimekutaja kwa jina kabisa! Mara 'Elia jamani jana ile mechi sitaisahau'.........au 'Yaani mpenzi Elia yaani limke lako linavyo niudhi'? ............, Unasemaje ya rafiki yako hapo sasa mkuu?
 
Sema hivyo lakini what if katika zile sms ndani kuna moja imetaja jina lako na vile juzi mlikua wote zanzibar,na ukiangalia kweli juzi ulimuaga mkeo unaenda zanzibar?lazima upaniki aisee
 

Yote hayo mkuu yanategemea kama bwana pepsi hajakukuta na kama mkeo hajashika hiyo simu na kusoma kilichomo au kupokea simu ya kimeo kimoojawapo
 

Elia MTISHIBI, hahaa umenichekesha. Wanaume jamani ni michosho sometimes, but life goes on.
 
Sema hivyo lakini what if katika zile sms ndani kuna moja imetaja jina lako na vile juzi mlikua wote zanzibar,na ukiangalia kweli juzi ulimuaga mkeo unaenda zanzibar?lazima upaniki aisee

All in all, you must be smart, kama umetumia namba feki basi hata jina tumia feki yaani feki feki feki.... sasa kama namba tu lakini jina lile lile, umeumia
 
Sema hivyo lakini what if katika zile sms ndani kuna moja imetaja jina lako na vile juzi mlikua wote zanzibar,na ukiangalia kweli juzi ulimuaga mkeo unaenda zanzibar?lazima upaniki aisee

Ni mizembe tu ndo haiweki password kwe simu ya kutendea kazi. Afu ni mzembe tu atakayekumbuka kuchukua simu takatifu akasahau simu sheitwain. Na ni mzembe tu anayerudi nyumbani na simu kiunganishi. Ofisini hana droo?


Mijitu kama hiyo iache itiwe bakora na wake zao.
 
hvi ni kwa nin uwe cheater!!??
those are stupid staffs!!
 
Yote hayo mkuu yanategemea kama bwana pepsi hajakukuta na kama mkeo hajashika hiyo simu na kusoma kilichomo au kupokea simu ya kimeo kimoojawapo

Yeah, ni rahisi kushauri....lakini Thubutu kukutwa.....
Kikubwa unachotakiwa kufanya KWANZA usitetemeke halafu simamia pointi yako
 

Well said mkuu :a s 41: :a s 41: :a s 41: :a s 41: :a s 41:
 

Loh nikipata mume ka wewe ngumi zinakutosha na mwiko wa kichwa
wanidanganya siku takatifu??
 

Experience comes with age.
Shikamoo babu
 
Yeah, ni rahisi kushauri....lakini Thubutu kukutwa.....
Kikubwa unachotakiwa kufanya KWANZA usitetemeke halafu simamia pointi yako
Mkuu Elia hapa ni pagumu sana kushauri na sio rahisi kama wanavyofikiri
Ukiwa mle ndani wameandika kabisa Elia asante kwa kazi yako ya jana au Elia safari yetu ya bagamyo niliipenda sana na kazi uliyofanya ni nzuri wakati umeaga kwa mkeo unaenda bagamoyo kweli na au Elia kitenge kizuri kimepita nichukue au Elia kodi ya nyumba imeisha utakkwepea wapi mkuu
 
Last edited by a moderator:

hilo nalo neno!!""
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…