TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
- Thread starter
- #41
if you read and understand pareto theory/law ... ile ya 80/20 utaelewa mazima kwamba hakuna mkamilifu na ni utundu wa binadamu kuangalia anachokosa.... i am not here to defend cheaters but i know we usuall blame shetani at the end of the day, na sie tunao-condemn ndio wa kwanza kumsingizia shetani while claiming that we need love tooTatizo sio kwamba wao hawana tatizo ni hawajali za wengine!Naamini visingizio wanavyotumia hamna hata kimoja kisichozuilika! Wangekua wanajali wenza wao k.m kama kuna kitu hawapati kwenye mahusiano yao wangesema na kujaribu kutatua tatizo!Ikitokea huyo mwenza akashindwa kabisa kuelewa na hicho kitu ni muhimu sana kwake(Cheater) aondoke mazima!Hamna sababu inayompa mtu kibali cha kucheat!
think about it