Cheap popularity?

Cheap popularity?

Ni maamuzi yake hakuna hata mtz mmoja aliejitokeza kumchukulia dhamana japo dhamana ilikua wazi ccm wamtumie na chadema wakiamua pia wamtumie maana ana mtaji wa watu!
 
Karma wewe mleta Uzi unaweza kumwita Baba wa Taifa Hili MCHONGA nami sishangai polisi kumpa thamani Dr. Shika kwa alichokiona kwake
 
Karma wewe mleta Uzi unaweza kumwita Baba wa Taifa Hili MCHONGA nami sishangai polisi kumpa thamani Dr. Shika kwa alichokiona kwake
Hivi unajua asili ya hilo neno Mchonga kwa Nyerere! RIP ⚰
 
View attachment 652435

Simlaumu katu Mzee wetu Dr. Shika... Naye ni mhanga wa chama chawala.! Na madhila yake ya kuondoshwa Urusi ccm inahusika na balozi wake kwa wakati huo amekiri kumuondosha Dr shika wakati huo kwa hati ya dharura na pengine kwa maelezo ya kisheria PI (prohibited Imigrant)

Kabla ya mnada wa nyumba za Lugumi (kizungumkuti cha aina yake) Dr shika hakuwa lolote... He was nobody.. Akiishi kwa msaada wa msamaria mwema... Na baada ya kushindwa kulipa asilimia 25 kama masharti ya mnada yanavyosema alikamatwa na kusweka lupango..

Kamanda wa polisi mbele ya vyombo vya habari akautangazia uma kuwa Dr shika alikuwa si chochote si lolote na hana thamani hata ya shilingi za kitanzania million moja sawa na dola Mia NNE za kimarekani...! Tafsiri yake ilikuwa moja tu kwamba kumbe watanzania sasa tunapimana thamani kwa viwango vya fedha...! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji47] so sad... Lakini pia mamlaka zetu zina inteligensia ya mizani ya kupima utu wa mtanzania kwa viwango vya fedha... Tumefika pabaya

Ukisoma kitabu cha Mchonga.. "Uongozi wetu na hatima ya Tanzania.. " unaweza kudhani yule Mzee alikuwa nabii ama mbeba maono... CCM wanakikwepa sana hiki kitabu....!!! Utaona wazi kilichoandikwa wakati ule na Mchonga ndio kinatokea sasa...

Shaka Dr msomi si wa kumlaumu mwache atumikie kafiri... Apate mradi wake.. Mkono uende kinywani... Tumbo lijae miguu imwongoze maliwatoni... Tumbo la njaa haliendi chooni....

Cha kushangaza kuchekesha na kuudhi sana kama si kutia simanzi ni eti sasa Dr shika ni muhimu sana na wa thamani sana KIASI cha kutumika kwenye kampeni za uchaguzi ili achangie kuleta ushindi kwa ccm,.... Shika huyu huyu mtuhumiwa aliyelazwa mahabusu saa 72 bila dhamana....!!!!

Akishatumika(pengine ameshatumika) atatelekezwa kama toilet paper chooni... Lakini je tujiulize hapa ndipo ccm ilipofikia? Sijajadili ya gulio la madiwani wabunge na viongozi wengine wa upinzani.... Mostly CHADEMA..!!!
Hawana la kusema
 
Karibu tupashe siasa sio uadui
a710ffadd9f0ff8bb1a5a0cbf09f5891.jpg
bar za siku hizi viti tupu..
Bar kama hii lazima iwe tupu....hamna chochote cha kujaza wateja hapo.
 
Back
Top Bottom