Isije kuwa tu wanataka kuendeleza hujuma zao kama kipindi kileeeeš¤Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.
Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.
"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"
Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?
Eti kumbe huu nao ni ujanja wao. Hivi wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright:
CHADEMA - "www.chadema.org"
Chadema ni haki yenu kufuatilia kuishusha chini hii site.
Haipo shaka kuwa ni yenye kumilikiwa na chawa uchwara hawa hawa.
Sisije kubwa tu wanataka za hujuma zao kama kipindi kileeeeš¤
Wanasema vita ni vita mura. Chawa wamedhamiria kupambana hata kinyume cha utaratibu.Naona Chadema wenyewe wanatakiwa kutolea maelezo hiyo issue, naona chawa wametumia gap lililopo kutoka kwa wamiliki, na kama wamiliki wakiendelea kukaa kimya, basi tutegemee chawa wakitawala zaidi.
..Chawa wanatakiwa wawe na maarifa.
..Uchawa wa namna hii ni vurugu na ujinga na unamharibia Mama Samia kuliko Chadema.
..Ccm wanatakiwa wajibu HOJA, waeleze kwanini tuna hali ngumu ya uchumi, sio kufanya vioja kama hivi.
Ukiona hivyo ujue wamezidiwa. Hawana hoja. Watampata nani wapi kumhalilishia ugumu wa maisha ambao kwao pia ni mwiba?
Hapa sasa Chadema si pa kuwalegezea bali kurusha makombora yenye uzito zaidi.
TCRA ichukue hatua isiache na wala isiuvumilie huu uhuniChawa wamechachawa la kufanya halijulikani.
Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.
"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"
Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?
Eti kumbe huu nao ni ujanja wao. Hivi wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright:
CHADEMA - "www.chadema.org"
Chadema ni haki yenu kufuatilia kuishusha chini hii site.
Haipo shaka kuwa ni yenye kumilikiwa na chawa uchwara hawa hawa.
WamepanikiChawa wamechachawa la kufanya halijulikani.
Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.
"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"
Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?
Eti kumbe huu nao ni ujanja wao. Hivi wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright:
CHADEMA - "www.chadema.org"
Chadema ni haki yenu kufuatilia kuishusha chini hii site.
Haipo shaka kuwa ni yenye kumilikiwa na chawa uchwara hawa hawa.
Hazitawasaidia chochote..Ccm waachane na siasa za UDANGANYIFU.
..Baada ya kuachana na siasa za ukatili za kipindi cha Jpm, sasa wamekuja na siasa za udanganyifu.
KabisaNaona Chadema wenyewe wanatakiwa kutolea maelezo hiyo issue, naona chawa wametumia gap lililopo kutoka kwa wamiliki, na kama wamiliki wakiendelea kukaa kimya, basi tutegemee chawa wakitawala zaidi.
Ndio, na kama hawachukui hatua kama taasisi basi Washakie kama Tai wakuu wao individuals maana wanajulikana hiyo itawaogofya kuacha kutenda kwa kufuata sheria.TCRA ichukue hatua isiache na wala isiuvumilie huu uhuni
TCRA ichukue hatua isiache na wala isiuvumilie huu uhuni