Wakuu
Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025
====
Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili Msomi Hashim Rungwe kwenye eneo la Sunuka, Jimbo la Kigoma Kusini ambapo ameambatana na Makamu Bara Mh. Devota Minja na Naibu Katibu Mkuu Tanzania bara Mh. Benson Kigaila.
Mapokezi hayo yameambatana na mkutano wa Hadhara ikiwa ni muendelezo wa Operation C4C ambapo wenyeji wa Sunuka wamemzawadia Mwenyekiti na Naibu wa Chama hicho Bara zawadi ya Mbuzi kama ishara ya mapokeo ya siasa za Nguvu ya Ukombozi huku kina mama wa Sunuka wakimzawadia Makamu Mkiti Bara Mh. Devota Minja Vitenge.
credits jambo_online_tv