CHAUMMA yaionya CHADEMA, wasituletee migogoro

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,224
Reaction score
4,419

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kuwa ili ukweli ujulikane na haki itendeke, ni muhimu kufanyika kwa mazungumzo yatakayowezesha pande husika kuwasilisha hoja zao na kupata ufumbuzi wa changamoto zilizopo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Novemba 25, 2026 mkoani Dar es Salaam Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema chama hicho hakioni sababu ya CHADEMA kutaka ukweli ujulikane bila kuwa tayari kukaa mezani kwa ajili ya mazungumzo.

Kigaila amesema kuwa iwapo CHADEMA wana hoja binafsi au malalamiko yanayohusu chama chao, wanapaswa kutafuta njia za kuyatatua badala ya kuyachanganya na masuala mengine.

Ameongeza kuwa masuala yanayohusu maslahi ya kitaifa yanapaswa kujadiliwa kwa pamoja kwa kukaa mezani ili kila upande uweze kutoa hoja zake na kusikilizana.

Amesema ni vyema pande husika zikashiriki katika mazungumzo hayo kwa lengo la kupata ufumbuzi wa changamoto zilizopo na kuweka mbele maslahi ya Taifa.
 
..masharti ya Chadema kushiriki mazungumzo yana mantiki.

..kwa mfano kutaka mazungumzo yasimamiwe na Msuluhishi toka nje asiye na upande ni hoja yenye mashiko na maslahi kwa taifa letu.
Haya maubwabwa na Actyamezoe kusindikiza, kama kwenye uchaguzi hayana cha kupoteza na mwendo wa kubariki haramu tu
 
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kuwa ili ukweli ujulikane na haki itendeke, ni muhimu kufanyika kwa mazungumzo yatakayowezesha pande husika kuwasilisha hoja zao na kupata ufumbuzi wa changamoto zilizopo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Novemba 25, 2026 mkoani Dar es Salaam Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema chama hicho hakioni sababu ya CHADEMA kutaka ukweli ujulikane bila kuwa tayari kukaa mezani kwa ajili ya mazungumzo.

Kigaila amesema kuwa iwapo CHADEMA wana hoja binafsi au malalamiko yanayohusu chama chao, wanapaswa kutafuta njia za kuyatatua badala ya kuyachanganya na masuala mengine.

Ameongeza kuwa masuala yanayohusu maslahi ya kitaifa yanapaswa kujadiliwa kwa pamoja kwa kukaa mezani ili kila upande uweze kutoa hoja zake na kusikilizana.

Amesema ni vyema pande husika zikashiriki katika mazungumzo hayo kwa lengo la kupata ufumbuzi wa changamoto zilizopo na kuweka mbele maslahi ya Taifa.
Kwani chaumma Wana mgogoro gani na ccm Hadi waridhiane
 
..masharti ya Chadema kushiriki mazungumzo yana mantiki.

..kwa mfano kutaka mazungumzo yasimamiwe na Msuluhishi toka nje asiye na upande ni hoja yenye mashiko na maslahi kwa taifa letu.
Bado swali linabaki pale pale. Huyo msuluhishi atapatikanaje bila pande zote kukaa na kukubaliana utaratibu wa kumpata anaekubalika na wote?

Amandla...
 
Mzee wangu Hashim Rungwe sipunda kakipigania sana hicho chama, naona vijana wake wanatoka nje ya misingi ya chama, sera ya CHAUMA ni ubwabwa na chakula kwa wote, kutibu njaa.

Hawa vijana wakumbushwe sera ya CHAUMA
 
Bado swali linabaki pale pale. Huyo msuluhishi atapatikanaje bila pande zote kukaa na kukubaliana utaratibu wa kumpata anaekubalika na wote?

Amandla...
Atapatikana baada ya pande ya ccm kukubali kwa umma kuwa atakuwepo then mchakato wa kumtafuta utaanza
 
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kuwa ili ukweli ujulikane na haki itendeke, ni muhimu kufanyika kwa mazungumzo yatakayowezesha pande husika kuwasilisha hoja zao na kupata ufumbuzi wa changamoto zilizopo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Novemba 25, 2026 mkoani Dar es Salaam Kaimu Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Benson Kigaila, amesema chama hicho hakioni sababu ya CHADEMA kutaka ukweli ujulikane bila kuwa tayari kukaa mezani kwa ajili ya mazungumzo.

Kigaila amesema kuwa iwapo CHADEMA wana hoja binafsi au malalamiko yanayohusu chama chao, wanapaswa kutafuta njia za kuyatatua badala ya kuyachanganya na masuala mengine.

Ameongeza kuwa masuala yanayohusu maslahi ya kitaifa yanapaswa kujadiliwa kwa pamoja kwa kukaa mezani ili kila upande uweze kutoa hoja zake na kusikilizana.

Amesema ni vyema pande husika zikashiriki katika mazungumzo hayo kwa lengo la kupata ufumbuzi wa changamoto zilizopo na kuweka mbele maslahi ya Taifa.
CHAWA UMA NA UCHAWA WAO
 
Bado swali linabaki pale pale. Huyo msuluhishi atapatikanaje bila pande zote kukaa na kukubaliana utaratibu wa kumpata anaekubalika na wote?

Amandla...

..Tundu Lissu awe nje, halafu watazungumza kuhusu msuluhishi.

..Au kipindi hiki wameomba vyama na taasisi mbalimbali wapendekeze wajumbe wangeomba pia Msuluhishi apendekezwe.

..lakini pia wanaweza kuwa na mazungumzo ambayo ni "in-direct" kuhusu hoja mbili za Chadema halafu ndio waende rasmi mezani.
 
Matapeli yameshapewa vipesa sasa yanaenda kuimba script za anayewalipa.
 
Kwani mpango ni kila chama na taasisi kinatakiwa kiridhiane na CCM kivyake vyake? Taasisi za dini zipi zina migogoro na CCM?

Amandla...

..mgogoro mkubwa uliopo ni wa kisiasa.

..kwa msingi, huo vyama vyote vilivyosajiliwa lazima viwepo mezani.
 
Masharti yametolewa kwa serikali ya majambazi, cha ajabu mbwa ndio zinabweka. Watulie tu wale minofu waliuohongwa taratiiiibu.
 
Back
Top Bottom