GE2025 CHAUMMA walivyoshuka na chopa Tanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,217
Reaction score
3,796
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani

Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa Salum Mwalimu mkoani Tanga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la shule ya msingi Mwakizaro na kusema kuwa hawawezi kususia uchaguzi mkuu

Soma Pia:


Your browser is not able to display this video.
 
Wangeshuka na Mbingu tungejiuliza Chaumwa ni nani.
 
Aliyebuni huu mradi wa hawa matapeli alifikiri bado watu wanazuzuliwa na vitu kama chopa.

Alipoona hasara akaamua chopa isitumike tena ,igizo likadorora na project ikajifia hata kabla ya uchafuzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…