Tetesi: GE2025 CHAUMMA wahaha kusaka Mgombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CHAUMA haijawahi kufanya vizuri kwenye uchaguzi mkuu. Haitegemewi chama hicho kupata mbunge hata mmoja labda ccm iwalegezee kamba nao wapate wawili watatu
 
Unaambiwa Wana wagombea Wanapendwa sana kama Nkuma, John Mrema na Dovotha Minja
 
Chauma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Wabarikiwe.Wasiukimbie uchaguzi
 
Rekebisha hapo kaka
Vitus Nkunya sio Vitus Nkuma
Hao watu walikua wanabebwa na CHADEMA NA MBOWE.
 
Wakati huu mzee wa Niguse Ninuke ndio pangemfaa huko, Apumzike Kwa Amani jasusi mbombezi
 
Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma

Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Bila shaka ww ni chawa wa chauma
 
CHAUMA ilikufa palelake wananchi wamekua na akili wako kimya ila wanajua Magufuli kuna namna fulani alimasha watanzania sio wajinga kivile ndo maana alikua anajiita Rais wa wanyonge ila wanyonge ni wengi Sana Walipona au wapata na akili kibano kilikua kwa watumishi wa Umma makanjanja Na Wezi.
 
Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma

Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Tangu lini chama cha siasa ni lazima kiwe na mgombea wa urais?

Amandla...
 
Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma

Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Chauma ubwabwa chawa chawa cha ibirisi ccm, kina Laana kubwa ya Lisu wao baada ya kuona Lisu yupo jela huku nyuma wakaolewa ndoa ya mkeka na chauma kwa mshenga mbowe na makala kuwasokomeza kwa bwana wao chauma pasipo kutafakari, watapataje mgombea makini wakati wengi wao ni vilaza watupu
 
Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma

Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Mkuu una utani mbaya wewe !
Vipi kwani Mbowe amewachomolea?
 
Back
Top Bottom