Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,871
- 99,968
Msukuma anayeongea kwa lafudhi ya pwani.Waende kwa shibuda
Msukuma anayeongea kwa lafudhi ya pwani.Waende kwa shibuda
Huyu kwanza apitie veta.Wamchukue majaliwa
Waitishe shindano la kula ubwabwa mshindi apewe kijiti, simple.Wamteue mtu anayekula ubwabwa wa maharage kwa umahiri awe mgombea wao.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu tusiharibiane sikuWachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.😂😂😂
Nina uhakika Samia atawapa viti. Wao na ACT. Ila siyo vingi. 70 wao CCM watabaki na nini? Kitu kitakachofanyika ni kupewa viti vichache na wengine kupewa ukoo wa mikoa au wilaya au teuzi ndogo ndogo ila wengi wataula wa chuya. CCM wenyewe wanawaona kama mbwa wa mwenye sherehe anavyowaona mbwa wa jirani wanaokuja kudoea.Chama hakijawahi hata kupata Diwani tangu kisajiliwe leo kipate Wabunge 70.