John mrema ni mwizi balaa akigombea hata kijijini kwao hapati kuraKwanini John Mrema asigombee?
John mrema ni mwizi balaa akigombea hata kijijini kwao hapati kuraKwanini John Mrema asigombee?
Mbowe kazi yake ni kuwachukua kuwaoza kwa Amos makala alichukua mahali ndipo makala anawasokomeza chauma ubwabwa chama cha kinafiki na majunguMkuu una utani mbaya wewe !
Vipi kwani Mbowe amewachomolea?
Siku ya uchaguzi atakuwa amelewaJohn mrema ni mwizi balaa akigombea hata kijijini kwao hapati kura
Kama ya fadhila sawaRekebisha hapo kaka
Vitus Nkunya sio Vitus Nkuma
Hao watu walikua wanabebwa na CHADEMA NA MBOWE.
Kushinda majimbo siyo rahisi. Watapewa ubunge wa kuokoteza kama ule wa COVID-19. Majimbo hawawezi kupewa!Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.
Mmekwisha ambiwa kwamba hao ni sawa na pundaUnaambiwa Wana wagombea Wanapendwa sana kama Nkuma, John Mrema na Dovotha Minja
😁😁Mmekwisha ambiwa kwamba hao ni sawa na punda
Ni fursa kwa mbowe kupima umaarufu wake.Mmekwisha ambiwa kwamba hao ni sawa na punda
Akitaka kujivua nguo aingie kwenye huo mkenge, atadhalilika mchana kweupeNi fursa kwa mbowe kupima umaarufu wake.
Baada ya kupigwa chini chadema, akagombee urais chaumma aone atapata kura ngapi.
Zitto alipofukuzwa chadema kwa hila za mbowe, alianzisha chama, walau akaongoza manispaa moja nchini.
HaWezi ndo maana CCM wanakuna kichwa Ili angalau wapate mtu maarufu atakayegombea upinzaniniAkitaka kujivua nguo aingie kwenye huo mkenge, atadhalilika mchana kweupe
Ndiyo, wanamsubiri kasimu majaliwa na freeman mbowe.Chama hakijawahi hata kupata Diwani tangu kisajiliwe leo kipate Wabunge 70.
HahahaChaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.
Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Kwanza mda si mrefu watavurugana maana wale G55 kila mmoja ana mitabia ya hovyo, kigaila ni mshirikina na majungu, Salum mwalimu ni mnafiki mzinzi, mrema ni mwizi mlevi, Kileo ni mzee wa sumu kemikali Tindikali na shushu wa mbowe kwa kifupi G55 ni watu wa hovyo sana hawatakivusha chauma popoteCHAUMA haijawahi kufanya vizuri kwenye uchaguzi mkuu. Haitegemewi chama hicho kupata mbunge hata mmoja labda ccm iwalegezee kamba nao wapate wawili watatu