CHAUMMA chaumia Mwanza

Yawezekana walikuwa sahihi lakini kinachoamua uinuke au usiinuke Mara nyingi ni timing.

Hakuna chama chochote kinachoweza kukua kufika Chadema au at least sisiemu .

Hawa jamaa wefanikiwa kuwa na zile grassroots they can't mess up.

Hata sisiemu bila wasanii hupata watu Ila bila wasanii hupata maudhurio machache

Chadema is there to stay.
 
kwani chadema ilikua wapi wakati CUF na NCCR MAGEUZI wako pale juu?🐒
 
Akina Mrema na Kigaila walidanganywa kwamba Wenje anahama na wanachama wengi sana kanda ya ziwa.

Ndiyo maana wakawekeza nguvu zao Mwanza wakijua kuna ujio mkubwa wa wanachama. Wenje kawapiga chenga. Ndiyo maana Mrema akawa analalamika na kuwaonyesha kwenye simu yake akina Kigaila na Kiwanga kuwa jamaa nampigia simu haipatikani wala hajibu msg. Hii kitu iliwachanganya akili.

Issue ya helicopter ilikuwa ni mbwembwe tu hakukuwa na Helicopter waliyo kodi. Kama watabisha waombeni risiti ya kukodi hiyo.
 
I can't urge with you nigga
take that point as reference to argue with others JF stakeholders.

It's very important to have political parties growth records before coming up with unreasonable conclusions 🐒
 
Wali pick wrong figures hiyo ipo wazi, hapo wamefeli pakubwa wame pick watu wasio na ushawishi kabisa
 
take that point as reference to argue with others JF stakeholders.

It's very important to have political parties growth records before coming up with unreasonable conclusions 🐒
Reasonable doubt

All I know uli join sisiem because you never had better option
(Surviving career)
 
Washauri wake wakuu kina Lusungo Fundi Mchundo Ngongo Stuxnet hawapikiki chungu kimoja na Lissu....hivyo hawawezi kumshauri hili.
Japo mimi siyo mshauri wake kama unavyodai lakini Mbowe yuko mbele ya CHADEMA.

Mwenyekiti wenu Tundu angekuwa anasikiliza ushauri asingekuwa ananyea debe Ukonga leo.

Haya mambo hayataki uropokaji, bali hekima na busara tu. Tundu ni DIKTETA mbaya kama Magufuli tu, na ndiyo maana walipigana risasi
 
Mkuu sio swala la uchama,huu ulioongea ndio ukweli kabisa!
 
Ubwabwa maharage imepokea watu na vyeo vyao
Hao wafia vyeo watatimuliwa na Mzee Sasa hivi maana kuna atakayeutaka umwenyekiti na uraisi . Patavurugikaaaaa
 
Mshana Jr utatunyima uhondo siku zote habari zako huwa na vielelezo kuwasaidia wasiojua kusoma na kuandika vipi waionea aibu hii ya Mwanza?
Fanya mambo Bwana watu wajionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…